Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hao ndiyo leve ya CCM inayowataka,hutakuja kusikia katemewa hata mate,na CCM wanatamani wa Tanzania wote wangekuwa hivyo"Ukiwa hutaki kufuata Maadili wewe unataka kuchagua nchi, sisi CHAUMA tunasema jambo vla kwanza baada ya ubwabwa ni amani na huu ubwabwa kama hakuna amani hauliki"
Katibu Mkuu Chama Cha Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Massod Rashid ameyazungumza hayo jijini Dodoma wakati wa kikao cha kusaini Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Mwaka huu 2025.
View attachment 3303070
Hii ni moja ya vyama pandikizi na vibaraka wa CCM. Hii ni njaa kali tu! Ni kimaslahi zaidi!!"Ukiwa hutaki kufuata Maadili wewe unataka kuchagua nchi, sisi CHAUMA tunasema jambo vla kwanza baada ya ubwabwa ni amani na huu ubwabwa kama hakuna amani hauliki"