Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii taarifa yako haijitoshelezi.Katibu mkuu wa Chama Cha walimu Tanzania CWT amekutwa na hatia hivyo kuhukumiwa yeye na mwenzake muweka hazina kifungo Cha miezi sita Kisha kurejesha fedha hizo baada ya kifungo.
Ndugu zangu tusitumie vibaya fedha za walimu tunapopewa nafasi.
Mkuu Tate shida yake ni nn?Hii taarifa yako haijitoshelezi.
Taarifa haina majina halisi ya wahusika! Yaani ameandika kama wote tunamfahamu huyo katibu mkuu.Mkuu Tate shida yake ni nn?
SawaKatibu mkuu wa Chama Cha walimu Tanzania CWT amekutwa na hatia hivyo kuhukumiwa yeye na mwenzake muweka hazina kifungo Cha miezi sita Kisha kurejesha fedha hizo baada ya kifungo.
Ndugu zangu tusitumie vibaya fedha za walimu tunapopewa nafasi.
Nyama hizi hapaTaarifa haina majina halisi ya wahusika! Yaani ameandika kama wote tunamfahamu huyo katibu mkuu.
Hivyo angejazia jazia nyama ili andiko lake likamilike, ikiwemo mahakama iliyomtia hatiani.
Mwalimu house, bank ya mwalimu, mabati ya wastaafu, rejesho la 15%tawini,uhuni kwenye t-shirt na kofia za may mosi.... Hawa ndio vikwazo ???Nyama hizi hapaView attachment 2276569
Nimekuelewa mkuuTaarifa haina majina halisi ya wahusika! Yaani ameandika kama wote tunamfahamu huyo katibu mkuu.
Hivyo angejazia jazia nyama ili andiko lake likamilike, ikiwemo mahakama iliyomtia hatiani.
AsaNyama hizi hapaView attachment 2276569
13.5mFedha hizo shilingi ngapi?
Self na AllawiWeka majina, kifungo cha muda gani walihukumiwa kwa kosa gani, na faini badala ya kifungo kiasi gani
Huu uzi umekurupuka sana mkuu