Katibu mkuu CWT taifa ahukumiwa

Katibu mkuu CWT taifa ahukumiwa

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
336
Reaction score
429
Katibu mkuu wa Chama Cha walimu Tanzania CWT amekutwa na hatia hivyo kuhukumiwa yeye na mwenzake muweka hazina kifungo Cha miezi sita Kisha kurejesha fedha hizo baada ya kifungo.

Ndugu zangu tusitumie vibaya fedha za walimu tunapopewa nafasi.
 
Ongezea maelezo mkuu sababu ni nini hasa, ubadhilifu na matumizi mabaya ya uongozi?

Mkuu alisema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Katibu mkuu wa Chama Cha walimu Tanzania CWT amekutwa na hatia hivyo kuhukumiwa yeye na mwenzake muweka hazina kifungo Cha miezi sita Kisha kurejesha fedha hizo baada ya kifungo.
Ndugu zangu tusitumie vibaya fedha za walimu tunapopewa nafasi.
Hii taarifa yako haijitoshelezi.
 
Mkuu Tate shida yake ni nn?
Taarifa haina majina halisi ya wahusika! Yaani ameandika kama wote tunamfahamu huyo katibu mkuu.

Hivyo angejazia jazia nyama ili andiko lake likamilike, ikiwemo mahakama iliyomtia hatiani.
 
Katibu mkuu wa Chama Cha walimu Tanzania CWT amekutwa na hatia hivyo kuhukumiwa yeye na mwenzake muweka hazina kifungo Cha miezi sita Kisha kurejesha fedha hizo baada ya kifungo.

Ndugu zangu tusitumie vibaya fedha za walimu tunapopewa nafasi.
Sawa
 
Huyo mweka hazina wake ni Alawi? Yule kijana ni mtu wa hovyo sana.
 
Taarifa haina majina halisi ya wahusika! Yaani ameandika kama wote tunamfahamu huyo katibu mkuu.

Hivyo angejazia jazia nyama ili andiko lake likamilike, ikiwemo mahakama iliyomtia hatiani.
Nyama hizi hapa
IMG-20220629-WA0017.jpg
 
Kama Kuna fedha inaliwa na kutafunwa mchana kweupe ni fedha ya walimu kupitia CWT. CWT wanafanya Kila liwezekanalo kuhakikisha wanavimaliza nguvu vyama vingine vya walimu
 
Weka majina, kifungo cha muda gani walihukumiwa kwa kosa gani, na faini badala ya kifungo kiasi gani
Huu uzi umekurupuka sana mkuu
 
Viongozi wote wa CWT ni WEZI. wala sio hao tu.

Wanaopaswa kuhukumiwa ni viongozi almost wote na hiki chama kipo kimchongo tu.

Hakina msaada kwa Waalimu
 
Back
Top Bottom