Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP KijaziRais Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John William Kijazi ambaye amefariki leo Februari 17 saa tatu usiku, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa matibabu.
WASIFU WA BALOZI JOHN KIJAZI > Wasifu wa Katibu Mkuu Kiongozi mpya Balozi Mhandisi John William Kijazi
CURRICULUM VITAE
NAME: John William Herbert Kijazi
BORN: 18 November 1956
MARITAL STATUS: Married
CHILDREN: Has three sons
EDUCATION
CAREER
- Bachelor of Science (Honours) in Civil Engineering, University of Dar es Salaam, Tanzania
- Masters of Science in Highway Engineering, Birmingham University, UK
LANGUAGES
- 1982 – 1986 Assistant Executiver Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
- 1986 – 1996 Regional Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
- 1996 – 1999 Senior Road Maintenance Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
- 1999 – 2002 Director of Regional Roads, Ministry of Public Works, Tanzania
- 2002 – 2005 Permanent Secretary, Ministry of Public Works, Tanzania
- Jan – Nov 2006 Permanent Secretary, Ministry of Infrastructure Development, Tanzania
- Dec 2006 – Jun 2007 Special Duties, Minstry of Foreign Affairs and International Cooperation HQTS, Tanzania
- Jun 2007 High Commissioner to India
- 27 May 2013 High Commissioner to Singapore
English, Swahili
Hali ni mbaya tujikinge kwa kufanya mazoeziNaona jahazi upepo umegeuka sasa
yalikuwa makosa makubwa Jiwe kuitangazia Dunia eti Tz hakuna "kolona"...hakukuwa na haja kufanya hivyo, matokeo yake wananchi wakajiachia hovyohovyo na sasa majibu tunayaona!.Hii Corona ilitupa nafasi kama miezi minne ya kujiandaa kukabiliana nayo, badala yake tukashangilia imeisha, sasa imerudi kwa nguvu imetukuta hatukumbuki hata silaha tuliziweka wapi, tunatafutana, kama tungechukua hatua madhubuti wakati ule, naamini leo tusingekuwa hapa.
Tumekosa raisi anayeshaurika.Jamani, Jamani sina la kusema. Nchi ya Tanzania tumekosa nini?.
Mwingine tena jaman 🙄🙄🙄Kiongozi mmoja mwandamizi katika awamu ya nne ameshatutoka, tunasubiri itifaki kuzingatiwa na tanzia iendelee.
Tena hao uliotaja ni piblic figure je wale wenzangu na mie wameondoka wangapi?Yaan ndani ya siku noja
Maalim seif.vedasto msungu
Baloz kijaz
Brother unaweza kufa kwa hofu tuHadi Afe nani?
Mwenyewe nina mafua hapa
Namba moja PB inakaribia mlima Kilimanjaro.Mwingine tena jaman 🙄🙄🙄
Mungu wetu hapendi unafiki.Mungu fundi wallahi..binafsi naona bado..natamani ipige wengine ma VVIP labda huenda wakaiona thamani ya uhai.
Kweli? DuhMke wa Dr Kijazi amelazwa Muhimbili.
Laiti traki
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji33]Kiongozi mmoja mwandamizi katika awamu ya nne ameshatutoka, tunasubiri itifaki kuzingatiwa na tanzia iendelee.