TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

RIP Kijazi
 
yalikuwa makosa makubwa Jiwe kuitangazia Dunia eti Tz hakuna "kolona"...hakukuwa na haja kufanya hivyo, matokeo yake wananchi wakajiachia hovyohovyo na sasa majibu tunayaona!.
 
Jamani, Jamani sina la kusema. Nchi ya Tanzania tumekosa nini?.
Tumekosa raisi anayeshaurika.

Ajabu...pamoja na matukio haya ya vifo mfululizo, huku mitaani raia hawajali wala hawachukui tahadhari..wanasubiri TAMKO.
Nikipita mtaani na barakoa kila mtu macho kwangu kwa mshangao.

R.I.P balozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…