Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Ili kupunguza malalamiko mitandaoni yanayopelekea viongozi wa kisiasa kutumbua Watumishi wa umma nakushauri uwaelekeze wakurugenzi, wakuu wa taasisi na Makatibu wakuu waweke wazi njia za mawasiliano Kama Nampa ya simu, WhatsApp na email ambazo jumbe zitakazotumwa zitawafikia wao tu bila kusomwa na watu wengine.
Wakitoa mawasiliano yao na wakajiwekea utaratibu wakuchunguza au kufuatilia taarifa wanazopewa Kisha kutoa mrejesho kwa wasiri itasaidia sana kupunguza malalamiko kwenye upatikanaji wa huduma.
Lakini pia itapunguza sana mrundikano wa issues zinazomsubiri Mhe. Rais afanye mkutano na wannnchi ndipo watoe nyongo. Wateule wajiweke karibu na jamii wapate taarifa za Nini kinaendelea kuliko kujifungia bila taarifa Hadi watumbuliwe.
Lakini pia watoa taarifa walindwe kisheria na ikibainika mpewa taarifa amezivujisha Basi atumbuliwe.
My advice