VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara.
Uteuzi wake ambao utafanyika wakati wowote kuanzia juma hili unatajwa kama kumpandisha cheo kutoka alichonacho hivi sasa pamoja na kulinda 'chemistry' iliyopo katika timu ya uongozi wa CCM Taifa.
Nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi bado inachakatwa ili kumpata 'muongeaji' mahiri wa chama. Hiyo nayo ikiwa tayari, nitarudi kuwahabarisha.
Corona ipo, tuchukue tahadhari na hatua satahiki!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Mkuu ya CCM-Dodoma)