Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Muda unakwenda fastaa.. Juzi juzi tu hapa mwezi wa saba mwaka jana kipenga cha kuchukua fomu kilipigwa.. Sasa hivi ni mwezi wa tatu. .. Baada ya miezi minne utakuwa umetimu mwaka mmoja tangu kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama.. Mnaokula shibeni kabisa mapema.. Mmebakiza miaka minne tu kabla filimbi haijapigwa tena!