Katibu Mkuu mpya wa CCM: Mwendo wa kupandishwa vyeo, wapya wataharibu 'formula'

Muda unakwenda fastaa.. Juzi juzi tu hapa mwezi wa saba mwaka jana kipenga cha kuchukua fomu kilipigwa.. Sasa hivi ni mwezi wa tatu. .. Baada ya miezi minne utakuwa umetimu mwaka mmoja tangu kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama.. Mnaokula shibeni kabisa mapema.. Mmebakiza miaka minne tu kabla filimbi haijapigwa tena!
 
Natabiri yuleee was DSM anaweza kuwa mwenezi, ndugu bashite
 
Mnasahau tabiri za late presida haziwapi ujiko kipindi hiki wadau!, Naona yule jamaa yenu tweeter anagaragazwa kweli kweli na tabiri zake kwa sasa zimekuwa fake ile mbaya.

One of tabiri ni ile ya bimkubwa kuongeza mishahara na haikuwa hivyo.
 
Kiufupi watu wajue kwamba mama hatabiriki! Namwomba aendelee hivi hivi ili mapoyoyo yakose wateja! Lile taahira kule twittani linahaha wala halina habari nyepesi nyepesi tena! Linajiongelesha utafikri taahira!
 
Mzee umeumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…