Si usubiri kwanza? Hebu tuliaSiyo rahisi kama unavyofikiria
MadogoInafahamika wazi Katibu Mkuuu mstaafishwa hajarizika kabisa na kitendo (Vitendo) vya serekali ya awamu ya sita ya kutompatia nafasi za matumizi ya anasa kama nyumba nzuri,magari mazuri V8 na ulinzi wa uhakika tangu alipoondolewa katika nafasi za kufoka foka wakati yeye anastahili kutafuna keki ya Taifa.
ACT Wazalendo mawindo yake Yako Chadema 😄🔥Si usubiri kwanza? Hebu tulia
Bashiru na Ndugai ni Mawaziri kwenye Baraza jipya la MawaziriUtashangaa na kushangazwa.
Acha uongoAliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu.
Inafahamika wazi Katibu Mkuuu mstaafishwa hajarizika kabisa na kitendo (Vitendo) vya serekali ya awamu ya sita ya kutompatia nafasi za matumizi ya anasa kama nyumba nzuri, magari mazuri V8 na ulinzi wa uhakika tangu alipoondolewa katika nafasi za kufoka foka wakati yeye anastahili kutafuna keki ya Taifa.
Ndani ya ACT Wazalendo kahakikishiwa nafasi ya juu na uhakika wa nafasi ya kuisimanga serekali ya sasa.
Ngongo kwasasa Kibanda Maiti Zanzibar.
Soon tu mkuu anakwea gari Jeusi anapishwa anasepaHajapata uhakikisho,ndio sababu za kuwajulisha wakuu wa kugawana keki ya Taifa wakichelewa wasimlaumu.
Mkakati wa ACT Wazalendo ni kumtumia Bashiru kufungua maeneo ya kanda ya Ziwa hasa Kagera na Wilaya cha Chato anakubalika sana.Soon tu mkuu anakwea gari Jeusi anapishwa anasepa
Bashiru Mbunge anapata milioni 12 kwa mwezi .Hela nyingi kulkio ukatibu mkuu wa CCM alikokuwaTambua alikua karibu mkuu kiongozi huyo,unadhani ana njaa?
Too late kwa ACTMkakati wa ACT Wazalendo ni kumtumia Bashiru kufungua maeneo ya kanda ya Ziwa hasa Kagera na Wilaya cha Chato anakubalika sana.