Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mwakani kazi ipo, kama watu kama hawa ndio wanaongoza wengine kugombea nafasi mbalimbali za kuwakilisha wananchi!
====
Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Hassan Kisabya Almas amesema kuwa uongozi wa chama hicho umekaa, kujadili na kuona kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa ulikua huru haki, huku akisisitiza kuwa, wameyapokea matokeo ya uchaguzi huo kwa moyo mmoja, licha ya kutoambulia kiti hata kimoja miongoni mwa nafasi zaidi ya 230 walizosimamisha wagombea.
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kimkoa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Aidha Kisabya ameonyesha kutokuwa na imani na baadhi ya watu wanaotoa taarifa za kutekwa na kupotea akidai kuwa imekuwa kama mchezo wa kuigiza kila mtu kudai ametekwa ama kupotea.