Mwakani kazi ipo, kama watu kama hawa ndio wanaongoza wengine kugombea nafasi mbalimbali za kuwakilisha wananchi!
====
Your browser is not able to display this video.
Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Hassan Kisabya Almas amesema kuwa uongozi wa chama hicho umekaa, kujadili na kuona kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa ulikua huru haki, huku akisisitiza kuwa, wameyapokea matokeo ya uchaguzi huo kwa moyo mmoja, licha ya kutoambulia kiti hata kimoja miongoni mwa nafasi zaidi ya 230 walizosimamisha wagombea.
Aidha Kisabya ameonyesha kutokuwa na imani na baadhi ya watu wanaotoa taarifa za kutekwa na kupotea akidai kuwa imekuwa kama mchezo wa kuigiza kila mtu kudai ametekwa ama kupotea.
Hahaha hawa wanatengenezewa script na CCM, ole wao wasipoongea, WANAFUTWA. Hawashiriki siasa popote kuna haja gani kuendelea kuwepo kwenye daftari la msajiri.
Na sisi raia tunatakiwa tuwe wakali tutoe fundisho kwa hawa mazezeta. Kama huyu alivyoongea huo ujinga akirudi tu mtaani tunampokea kwa kipigo! Hawatarudia ujinga!
Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Hassan Kisabya Almas amesema kuwa uongozi wa chama hicho umekaa, kujadili na kuona kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa ulikua huru haki, huku akisisitiza kuwa, wameyapokea matokeo ya uchaguzi huo kwa moyo mmoja, licha ya kutoambulia kiti hata kimoja miongoni mwa nafasi zaidi ya 230 walizosimamisha wagombea.
Aidha Kisabya ameonyesha kutokuwa na imani na baadhi ya watu wanaotoa taarifa za kutekwa na kupotea akidai kuwa imekuwa kama mchezo wa kuigiza kila mtu kudai ametekwa ama kupotea.
Na sisi raia tunatakiwa tuwe wakali tutoe fundisho kwa hawa mazezeta. Kama huyu alivyoongea huo ujinga akirudi tu mtaani tunapokea kwa kipigo! Hawatarudia ujinga!
Bara, zenji kwenye uchaguzu huu wameshariki wapigia debe wabara, wao hawana uchaguzi mpaka mwakani...nimeangalia hata website hawana, ni mwendo wa kutoa matamko tu afu shwaa huwaoni hadi kwenye chaguzi tena au mambo yanayohitaji kutolewa matamko
Hahaha hawa wanatengenezewa script na CCM, ole wao wasipoongea, WANAFUTWA. Hawashiriki siasa popote kuna haja gani kuendelea kuwepo kwenye daftari la msajiri.
Msajiri atakwambia wanashiriki kutoa matamko๐๐..... kwani Mkuu hujasikia vyama vilivyoshiriki kwenye uchaguzi ni 19? Hiki kitakuwa cha 18๐๐ upuuzi mtupu