GE2025 Katibu Mkuu TAHOSSA Frank Ndille achukua fomu kuwania Ubunge jimbo la Mbozi

GE2025 Katibu Mkuu TAHOSSA Frank Ndille achukua fomu kuwania Ubunge jimbo la Mbozi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania Bara (TAHOSSA), Frank Ndile, mapema leo Juni 29, 2025 amejitokeza na kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbozi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025​

Ndile amechukua fomu hiyo mbele ya viongozi wa chama hicho katika Wilaya ya Mbozi, ambapo alikabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga.


tahossa.png
 
Kwa utendaji kazi wa Ndile, mbozi anaiweza sijui wapiga kura ndani ya chama kama wanamwelewa.
 
Back
Top Bottom