Per diem za Walipa kodi zimekulevya.Acha kuandika ujinga. Nenda ofisi za tamisemi Katoe malalamiko yako, kuandika humu haikusaidii kitu zaidi unaendelea kuwa mjinga na fala
Ukiona kazi ngumu acha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Per diem za Walipa kodi zimekulevya.Acha kuandika ujinga. Nenda ofisi za tamisemi Katoe malalamiko yako, kuandika humu haikusaidii kitu zaidi unaendelea kuwa mjinga na fala
Ukiona kazi ngumu acha.
Hawa wanaopata uhamisho fasta fasta wanafanyaje......Siku za karibuni Rais alifanya mabadiliko madogo kwa makatibu wakuu ambapo ndg. Adolf Ndunguru alipelekwa Ofisi ya Rais- TAMISEMI.
Huyu bwana tangia aingie katika ile ofisi alikuta tayari kuna watumishi walishapata uhamisho hasa wale wa kubalishana vituo vya kazi. Jambo la ajabu amezuia uhamisho husika kwasababu anazojua yeye.
Mtu anapoomba uhamisho ana sababu za msingi, na hasa kama ametimiza masharti na vigezo vilivyowekwa na serikali kwanini atokee mtu moja kwa maslahi yake na kwa jeuri tu kisa ana madaraka anaamua kuzuia pasipo sababu zozote?
Hii ni roho mbaya ya kikatili, ni matumizi mabaya ya madaraka uliyokasimiwa na mheshimiwa rais. Anapata faida gani kuzuia huo uhamisho. Hivi serikali haifanyi vetting ya kutosha kabla ya kuwapa hawa watu madaraka makubwa yanayoumiza maisha ya watu?
Ndg. Adolf Ndunguru katoe hayo majina maisha ya watu yaendelee kwa furaha na amani, iache hiyo kiburi na jeuri huo ni utumishi wa umma na ni wa muda tu.