📌Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi.
Hakuna Padre mjingaMajibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
View attachment 3319115
Muambie father aagize kitimoto na wine aipendayo kwa gharama yangu.Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
View attachment 3319115
Hawana njaa wanafanya kazi gan?Hakuna Padre mjinga
Mafather wote asilimia kubwa wanajitambua na hawana njaa za kijinga.
Mola awatunze wazidi kusema iliyo kweli.
Upumbavu unao wewe usiyejua kazi yaoHawana njaa wanafanya kazi gan?
Acha upumbavu
makubwaSasa utakemea ugali? Wengine wanapalilia humo ili wapate njaa hizo
Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasuku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisaAsante na Hongera sana Fr. Kitima.
Hii ndo iwe lugha ya Kanisa kwenye ibada zote nchi nzima.
CCM wametugeuza wapumbavu sana. Enough is enough.
Sijui unapata wapi nguvu na muda wa kuandika takataka kama hii hapa, kutwa/kucha, na kila siku!Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Vipindi vyote vya utawala wa wakatoliki wenzao hawajawahi kukemea lolote kwa nguvu hivi Wala kutoa kauli za kimamlaka, "Waachiwe mara Moja na bila masharti". UNAFIKI MTUPU.Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
View attachment 3319115
Kama ni kwa sababu ya udini tu na chuki ya ukanda kama hivi; TUTAENDELEA KUBAKI SALAMA SALMINI NA ATAZOLEWA YULE MNAFIKI NA MBAGUZI WA KIDINI.......Na Kuna upande nao umeshashindwa kuvumilia huu ujinga; nao unasubiri muda muafaka useme lake kwa waumini wake.Sijui unapata wapi nguvu na muda wa kuandika takataka kama hii hapa, kutwa/kucha, na kila siku!
Sasa elewa tu kwamba hakuna litakalo wasalimisha safari hii. Mtazolewa tu na tsunami kama hamtaingiwa na akili vichwani kungali mapema.
Ni jukumu lako kuchagua kwenda Kanisani au kutokwenda! Lakini Uovu lazima ukemewe,ndiyo kazi ya Watumishi wa Mungu kuukemea!Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
umenena vema " viongozi wa Imani"Watu smart hawajawahi kuikubali CCM.
Sema wengi wao ni woga. Wanahofia hatima zao hivyo uamua kukaa kimya!
Asante viongozi wa imani kubali kupinga dhambi.