Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Wajifunze kukemea kwa usawa.....kusiwe na double standards; itakuwa kulinajisi hata hilo neno lenyewe. Milele watakaa katika ziwa la moto wafitiniNi jukumu lako kuchagua kwenda Kanisani au kutokwenda! Lakini Uovu lazima ukemewe,ndiyo kazi ya Watumishi wa Mungu kuukemea!
WEZI,Wanyanganyi,Wazinzi,Wachawi,Waongo,WAUAJI,nk hawataurithi Uzima wa Milele mahali pao ni katika ziwa la moto,
1 Wakorintho6:9-10
Ufunuo21:8
Kuna shida sasa hivi dunia inaingia kanisani kuingiza mahubiri badala ya kanisa kutoka na mahubiri kanisani na kuyapeleka dunianiNi jukumu lako kuchagua kwenda Kanisani au kutokwenda! Lakini Uovu lazima ukemewe,ndiyo kazi ya Watumishi wa Mungu kuukemea!
WEZI,Wanyanganyi,Wazinzi,Wachawi,Waongo,WAUAJI,nk hawataurithi Uzima wa Milele mahali pao ni katika ziwa la moto,
1 Wakorintho6:9-10
Ufunuo21:8
Kwani wewe unaishi nchi gani hata usielewe kinachovuruga nchi kwa sasa hivi, na urukie tu habari za UDINI?Kama ni kwa sababu ya udini tu na chuki ya ukanda kama hivi; TUTAENDELEA KUBAKI SALAMA SALMINI NA ATAZOLEWA YULE MNAFIKI NA MBAGUZI WA KIDINI.......Na Kuna upande nao umeshashindwa kuvumilia huu ujinga; nao unasubiri muda muafaka useme lake kwa waumini wake.
Kuna watu hawana Nia njema na nchi hii!
Huyu mungu wako unayempangia maamuzi naona atakuwa mfukoni mwako.Mungu humlinda anayefitiniwa!!!
Watasema kuwafurahisha maana ndicho makamanda wanapenda mwisho wa siku hata yeye kura atapiga mahesabu na majumuisho ccm kashinda kwhiyoooo tumeibiwa anaitwa kusoma maombi ya kumuapisha raisi ngonjera zake zimekwisha maisha yanaendelea...Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
View attachment 3319115
Padri Dr. Ni mwanachadema kinda kindaki namfahamu alikuwa boss wangu SAUT mwaka 2010 nikipiga KAZI pale Kwa muda mfupi.Mi naona agombee ubunge tumnyoosheMajibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
View attachment 3319115
Manafiki ni wewe na CCM yako! Kanisa haliwezi kugeuka kuwa chama wa CCMVipindi vyote vya utawala wa wakatoliki wenzao hawajawahi kukemea lolote kwa nguvu hivi Wala kutoa kauli za kimamlaka, "Waachiwe mara Moja na bila masharti". UNAFIKI MTUPU.
Mungu humlinda anayefitiniwa!!!
Umepoteza mwelekeo wewe ambae unashuhudia wazi sheria zikivunjwa, haki za binadam zikipokwa, demokrasia ikisiginwa lkn uko kimbelembela kusifia na kushangilia mradi tonge liende kinywani...hata wale wenye wajibu wa kukemea dhambi na uovu unataka wawe na akili kama zako wasifu tu na kutukuza udhalimuKuna shida sasa hivi dunia inaingia kanisani kuingiza mahubiri badala ya kanisa kutoka na mahubiri kanisani na kuyapeleka duniani
Wahubiri kama Moses Kulola wafufuke tu waje kuhubiri tena waliokuwa wakijua vizuri kazi ya kuhubiri ni nini tofauti na baadhi ya wa sasa ukiwemo wewe wanaoamini kuhubiri ni kuongea yale wanasiasa wanasema kisha kupokea sadaka za waumini na kwenda kula na kulala
Mungu akuhurumie kwa kweli.Umepoteza mwelekeo kabisa
Vipindi vyote vya utawala wa wakatoliki wenzao hawajawahi kukemea lolote kwa nguvu hivi Wala kutoa kauli za kimamlaka, "Waachiwe mara Moja na bila masharti". UNAFIKI MTUPU.
Mungu humlinda anayefitiniwa!!!
Wakristo wamekuwa consistent sana kwenye utetezi wa haki na usimamizi wa maadili ya jamii. Wamekuwa wakikemea kila uovu unaotendeka kwa viongozi wa umma.Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
View attachment 3319115
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
KITIMA.........NI ......MOTO...............KEMEA WEZI WA KURAAAAA HAO
Haya Bibi awajibu tena keshokutwa kwenye Mei Mosi kama ana nguvuKukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
tatizo wanapenda ubwabwa na ndizi.......yaani .wanachanganyikiwa ukiwapa ubwabwa na ndizi.....Wakristo wamekuwa consistent sana kwenye utetezi wa haki na usimamizi wa maadili ya jamii. Wamekuwa wakikemea kila uovu unaotendeka kwa viongozi wa umma.
Shida iko wa waislam. BAKWATA imekuwa baraza la machawa. Ni tawi la waislamu ndani ya serikali linalolinda maslahi ya serikali. Bakwata inabariki kila uovu unaotendeka ili kuitetea serikali.
Jesca Magufuli...Baada ya Kifo cha Baba marafiki wamepunguMajibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
View attachment 3319115
πππtatizo wanapenda ubwabwa na ndizi.......yaani .wanachanganyikiwa ukiwapa ubwabwa na ndizi.....
Sema wa RC sio wakristo wote, huku Lutheran hamna kitu yule mnyakyusa malasusa ni mpiga dealWakristo wamekuwa consistent sana kwenye utetezi wa haki na usimamizi wa maadili ya jamii. Wamekuwa wakikemea kila uovu unaotendeka kwa viongozi wa umma.
πππMajibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;