soma maandiko ELIYA ALIMFUATA MFLAME AHABU KWA WIZI ALIOKUWA AMEUFANYA WA KUPORA SHAMBA LA MTU,AKAMKEMEA NA KUMWADHIBU,WEWE UNAONGEA PUMBAAAAKuna shida sasa hivi dunia inaingia kanisani kuingiza mahubiri badala ya kanisa kutoka na mahubiri kanisani na kuyapeleka duniani
Wahubiri kama Moses Kulola wafufuke tu waje kuhubiri tena waliokuwa wakijua vizuri kazi ya kuhubiri ni nini tofauti na baadhi ya wa sasa ukiwemo wewe wanaoamini kuhubiri ni kuongea yale wanasiasa wanasema kisha kupokea sadaka za waumini na kwenda kula na kulala
Mungu akuhurumie kwa kweli.Umepoteza mwelekeo kabisa
Hasa POLISi, wako tayari kubeba fedheha na kejeli kisa Tu kuilinda CCM. Halafu baadae wakilewa wanasema " oogh Mimi ndio nimekuweka madarakani" Yaani hivyo tuWatu smart hawajawahi kuikubali CCM.
Sema wengi wao ni woga. Wanahofia hatima zao hivyo uamua kukaa kimya!
Asante viongozi wa imani kubali kupinga dhambi.
Ila Chama Cha chadema, au sio?Manafiki ni wewe na CCM yako! Kanisa haliwezi kugeuka kuwa chama wa CCM
Kwani umewahi kupewa kadi ya mualiko wa kwenda kanisani?Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Wapi hawakemei kwa usawa? For the record catholic halijawahi kumuacha mtu regardless status yakeWajifunze kukemea kwa usawa.....kusiwe na double standards; itakuwa kulinajisi hata hilo neno lenyewe. Milele watakaa katika ziwa la moto wafitini
Hii ndio misingi ya kanisa,akina Paulo,Yohane,Petro,Mathayo hawakuuawa kwa kuwa kimya bali kwa kuhubiri neno la Mungu na kokosoa watawala.Kanisa limelilea hili taifa haliwezi leo kuambiwa likae pembeni kwamba liwaache wafanya wao watawala wafanye watakavyo kama alivyosema Rais.Rais atapita kanisa na Taifa vitabaki.JPM aliharibu mifumo ya utawala madhara yake hadi leo Rais ni de facto Queen.Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
View attachment 3319115
CCM ni wataalamu wa kujizima data na uhalifu wa haki za binadamu eti wanahubiri amani📌
Amenena vyema,
Mbona wakisifiwa na kupongezwa na viongozi wa dini machawa huwa hawalalamiki kuwa siasa imeingiliwa?
Ila wakikosolewa kuhusu matendo yao ya ufisadi, wizi wa uchaguzi, kuonea wananchi, kuteka, kuwabambikia kesi za uongo, nk, wanang'aka kuwa wasiingiliwe kwenye siasa!
Kwani siasa ni uhalifu?!
Bado hujalifahamu andiko.Mtu akijeruhiwa kwenye siasa hukimbilia kanisani kutafuta faraja akishaipata anarudi ulingoni.Fikiria mtu kama Lissu,Mrisho Gambo au akina Nape,Makamba wakati ule wa JPM, anaenda kanisani Padre anasoma neno lina anasikia neno linasemaHakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa

Kwamba reform haina maana ama watawaambia nini.Kama ni kwa sababu ya udini tu na chuki ya ukanda kama hivi; TUTAENDELEA KUBAKI SALAMA SALMINI NA ATAZOLEWA YULE MNAFIKI NA MBAGUZI WA KIDINI.......Na Kuna upande nao umeshashindwa kuvumilia huu ujinga; nao unasubiri muda muafaka useme lake kwa waumini wake.
Kuna watu hawana Nia njema na nchi hii!
Mnafiki mkubwa wewe. Kausome ule waraka wa TEC na wa KKKT wakati wa utawala wa Magufuli.Vipindi vyote vya utawala wa wakatoliki wenzao hawajawahi kukemea lolote kwa nguvu hivi Wala kutoa kauli za kimamlaka, "Waachiwe mara Moja na bila masharti". UNAFIKI MTUPU.
Mungu humlinda anayefitiniwa!!!
Duniani kote hakuna chaguzi huru, mambo mengine yamefichwa. Viongozi wengi mfumo unakuwa ndio umewataka. Wamejilidhisha kuwa nchi itakuwa salama. Nchi zina maadui wengi, inaweza kutokea maadui wana penyeza watu wao kwa kigezo cha kuchaguliwa.Kwani wewe unaishi nchi gani hata usielewe kinachovuruga nchi kwa sasa hivi, na urukie tu habari za UDINI?
Kuhimiza uwepo uchaguzi HURU, na kila mpiga kura atumie HAKI ya kumchagua anayetaka amwongoze, huo unakuwa UDINI?
"Chuki za ukanda" ni zipi; ukanda gani dhidi ya upi?
"MUTAENDELEA KUBAKI SALAMA SALIMINI..." kwa vipi? Hivi huoni ujuha mnaoufanya kukimbilia udini, wakati nyinyi wenyewe ndio unaowaendesha. Hivi bado hujui kuwa watu wametambua ulaghai na udanganyifu wa siku nyingi mlioufanya kupumbaza wengine?
Huo upande unaosema nao umeshindwa kuvumilia ujinga, hujui kuwa waowalikwisha toa msimamo toka awali kwa kuhimiza AMANI isiyo ambatana na HAKI; maigizo ambayo yanasemwa vilevile na CCM?
Kama kuna watu wasiokuwa na nia njema na nchi hii kama unavyosema wewe, ni Samia na genge lake anayetaka kuitumbukiza nchi hii katika janga, ambalo hata yeye hatatoka salama.
Mwonye kungali mapema. Msijifiche kwenye UDINI na kuutumia kuwa kinga ya kutuvuruga. Tanzania hii ni muhimu zaidi ya hizo imani zenu za kulaghai watu. Mnaweka dini mbele wakati nyinyi ni wakala wa shetani.
Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Ni kweliSema wa RC sio wakristo wote, huku Lutheran hamna kitu yule mnyakyusa malasusa ni mpiga deal
Yeye hakutumwa hayo unajua kilichomkuta ? Alitorokea porini na kuacha unabii kabisa baadavya Jezebeeli kutangaza kuwa atamuuua na akagoma kuendelea kuwa nabii akamwambia Mungu hataki tenasoma maandiko ELIYA ALIMFUATA MFLAME AHABU KWA WIZI ALIOKUWA AMEUFANYA WA KUPORA SHAMBA LA MTU,AKAMKEMEA NA KUMWADHIBU,WEWE UNAONGEA PUMBAAAA
No reform no election sio neno la Mungu nitajie kwenye Biblia liko kitabu kipi cha Biblia ,Sura ipi na Mstari upi? Hadi askofu au padre au mchungaji alikomalie kwenye mahubiri?Na vipi kuhusu biblia inayosomwa kwa kurudia miaka na mikaka? Hiyo haikushawishi usiende kanisani; maana hakuna jipya linalohubiriwa? Au kinachokukera ni kusikia kauli ‘No Electiom, No Reform’ ikirudiwa mara kwa mara?
Naunga mkono hoja, wasubiri kura za malasusa na wenzakeAsante na Hongera sana Fr. Kitima.
Hii ndo iwe lugha ya Kanisa kwenye ibada zote nchi nzima.
CCM wametugeuza wapumbavu sana. Enough is enough.
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;