Katibu Mkuu TFF na Msemaji wa Yanga warushiana maneno mazito na ya kashfa Clouds fm

87.5. The television and broadcasting rights, as well as the revenues from publicity belong exclusively to CAF and shall be distributed as follows:

- 50% for the eight finalist countries,
- 30% for the organising country,
- 20% for CAF,

87.3. The television, broadcasting and publicity rights of the draw ceremony of the final tournament belong to CAF. They shall be subject to a separate contract and freely 35 negotiated between CAF and the various specialized agencies.

87.4. The organising associations shall see to it that the commitments taken by CAF in the contracts signed with the specialized agencies are fully observed on its territory. The organising association must present the consent of its Government in this respect. The organising association is bound to facilitate the task of the specialized agencies all through the Tournament.

Article 89 The organising association shall see to it that the commitments taken by CAF as indicated in the contracts concluded between the Confederation and the agencies are fully observed in its territory
 

Mimi nilishakuonaga wa hovyo kwenye ile mada yako uliyoikimbia kwamba Tanzania ni Paradiso kwa kuwa tu wewe hujawahi kubakwa. Tangu siku ile nilijua kichwani wewe hamna kitu
 
Nyie ndo wasomi wa kibongo hata mkiongea pumba mna hisi mko sahihi

Wewe mic za clouds zina futwa mate na ethics za uandish wap na wap!!? Mwenyewe ethics huna

Alafu eti unafundisha chuo, utakuwa uko zoom polytecnic wewe si bure

Nasisitiza ulianza vyema ila ukamaliza na bias jambo lilo harib kaz yoote ulo ifanya
 
Ila tunaweza tusimlaumu sana Jerry, maana ukifanya utafiti mdogo hata ndani ya uongozi wa yanga kuna watu wanamgwaya aidha kwa kupewa kiburi na boss, au wameshagundua kuwa hayuko kawaida! Jerry Muro wa ITV sio huyu, huyu anaropoka mno tena kwa makelele utadhani ugomvi!!
 
Mimi nilishakuonaga wa hovyo kwenye ile mada yako uliyoikimbia kwamba Tanzania ni Paradiso kwa kuwa tu wewe hujawahi kubakwa. Tangu siku ile nilijua kichwani wewe hamna kitu

Ili kuwadhihirishia Watu humu kuwa niliwahi kuja na hiyo MADA nakuomba uitafute halafu uiweke hapa ili Watu waamini hicho unachokisema vinginevyo nadhani kuna unalolitafuta Kwangu na bahati mbaya SIFA yangu KUU ni kuwa " Battle hardened General ". Kama upo katika " heat " ni vyema tu ukasema mapema ili tukusaidie kuliko kuja humu na UZUSHI na huwa nawapenda mno MAJUHA wa aina yako.
 

Mbona hata waliokuzaa nao pia nimewafundisha? Sasa kama Mimi Mwalimu wao ni tatizo basi yawezekana hata wao nao wameiga matatizo yangu ndiyo maana wakazaa toto " TATIZO " na JUHA kama Wewe. Nilikuchunia naona kila mara unajaa tu katika " frame " twende kazi sasa!
 
Acha chuki
Na uache kujifanya una jua we peke yako

Wazazi wangu hawaja kwambia kitu hapa we dili na mimi

Muro anaonekana wa maana kuliko wewe ulo mpinga sasa
 
"yanga ni zaidi ya CAF ......."- jerry muro asante sana huyu mtu naomba ajitahidi kuweka akiba ya uropokaji tuu
 
Ww umejuaje amelowesha mic inaonesha na wew ulivyokuwa weak kwenye kutoa habari zako

Hivi Mtu ambaye tayari keshajua kuwa Mtoa habari ambayo ameifungua na anaisoma ni weak na yeye anajijua kabisa kuwa ni strong upstairs huyu utamuitaje?
 
Acha chuki
Na uache kujifanya una jua we peke yako

Wazazi wangu hawaja kwambia kitu hapa we dili na mimi

Muro anaonekana wa maana kuliko wewe ulo mpinga sasa

Halafu jifunze kutumia ID yako ile iliyozoeleka na kuja kunijibu Mimi kwa ID yako " mbadala " unaonyesha kabisa ni jinsi gani unavyoniogopa na nilivyo tishio kwako na kwa Wanafiki wenzio waliopo. Narudia tena tumia ile ile ID yako usiniogope na kunikwepa kwa ID zingine. Mbona Mimi yangu ni hii hii na siibadili? Ni kweli Muro anaonekana wa maana hasa kwa wenye AKILI kama zake na ndiyo maana hata alipokuwa studioni leo mjengoni Wafanyakazi wa Clouds walikuwa " wanamsanifu " na " kumcheka " tena kwa dharau. Mwisho muulize huyo Muro wako ni kwanini Msemaji wa Simba huwa akialikwa tu pale studioni hupokelewa utadhani Rais Obama katua Tanzania na hadi Wafanyakazi wa Clouds Media Group humfurahia na kumpa ushirikiano? Mwisho nakuuliza unajua MEMO aliyopigwa Dauda na Issa baada ya Kipindi chao kumalizika kwa kitendo chao cha kumualika Studioni Muro huku akikiuka taratibu zote za Utangazaji ambapo Mabosi zao wamepigiwa sana Simu na Wadau ( Wadhamini wa Kipindi ) kumlalamikia kwa jinsi Jerry Muro alivyokiharibu Kipindi kizima cha leo. Rudi tena ukaelimike kisha urudi humu au na Wewe ndiyo " mhanga " wa hizi likizo za Vijana wetu kwa miezi hii?
 
Ulimuona akitoa povu? ?acha mihemko ashki

Walisikika akina Dauda na Issa wakijifuta usoni kwani jamaa akiongea " huwanyeshea " mno walio karibu nae na hii hutokana na tabia yake ya kupenda " kuropokaropoka " bila hata ya kunywa hata maji kidogo.
 
"yanga ni zaidi ya CAF ......."- jerry muro asante sana huyu mtu naomba ajitahidi kuweka akiba ya uropokaji tuu

Halafu huwezi kuamini kabisa Mkuu kuna Watu tena bila hata uso wa " haya " wanajitoa kabisa ufahamu na kuutetea huu " uozo " wake. Sasa nimeshapata jibu kwanini Muwania Urais nchini Marekani kwa ticket ya Republican Ndugu Donald Trump huwa anatutukana Waafrika na kwa aina hii ya fikra hakika Waafrika tunastahili kutukanwa kama siyo kudhihakiwa na Wazungu.
 
huyu jamaa nimemsikiliza leo clouds nimeshindwa kumuelewa kabisa.......shafii anajaribu kumuelekeza na kumtuliza lakini jamaa daah munkari ipo juu anajifanya mjuaji sana hadi kero yaani
 
Well said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…