Katibu Mkuu TFF na Msemaji wa Yanga warushiana maneno mazito na ya kashfa Clouds fm

Ngoja uje mgogoro ili watani nao waibuke tena.
 
Chukua like 5
 
Wewe ni mhaya?
 
ww hilo neno "members " ni la kiswahili?
 
Lipo jambo la kuangalia hapa. Je kuna mahusiano yasiyo ya kawaida kati ya Jeli na Maanj? Huku kujiamini kwa namna hiyo kunaleta hisia nyingine kwa watu wanaelewa mahusiano.
 
Jerry Muro ni tatizo kubwa pale yanga
 
hakuna mtu hovyo kwa sasa kwenye media kama huyo jamaa wa yanga, sijui wamemuokota wapi.
 
A afadhari Leo umeonyesha upande uliopo,huko kwenu shida kibao umekomaa na shida za jirani,acha umbea watoto watalala njaa
 
Simba damu lkn Muro namuunga mkono kwa aliyoyasema km ni kusoma kwel kasoma Kwel km VP Katibu mkuu WA tff naye aweke elim yake mezan tff wamezid Sana. ILA MKUU MLETA UZI WE NAE MNAZI umeanza vzr but unamaliza kinazi
 
Anacho nifurahisha na kunistaajabisha Muro ni pale kila akosolewapo anakimbilia kusema 'mimi nina Masters!' hivyo nina akili.Aiseh..
 
nimenusa beef la kufa mtu ati ya mwesiga na Jerry.... huenda wanapigania usemaji wa Yanga.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…