Majuzi niliomba kuona waraka huu hapa hapa jamvini kwa bahati nzuri mdau mmoja kanitumia PM hapa nimeona kipengele cha 3.2.(i) si rafiki kwani kinamnyima stahiki zake mtumishi endapo mwajiri hatukuwa na busara kipengele kinasema
(I)malipo ya uhamisho hasa katika maeneo ya mjini yafanyike baada ya mwajiri kujiridhisha pasipo shaka yoyote kuwa uhamisho wa mtumishi husika unamlazimu kuhama makazi hivyo katika kushughulikia uhamisho wa namna hii mwajiri azingatie mazingira halisi ya kila eneo.
Hapa neno mjini ni utata mjini wapi sasa kwenye magari mengi na nyumba za umeme, maduka makubwa makubwa, au senta ambapo watu wanakusanyikia
MY TAKE
Hichi kipengele ni tata kitaumiza watu wengi sana ushauri kifutwe au kitolewe ufafanuzi hilo neno mjini
Mfano unamwamisha mtumishi kutoka mbagala unampeleka goba uko arafu mwajiri anasema uhamisho wako sio wa malipo kwa sababu amejiridhisha upo mjini 😂😂😂😂 ona umbali huo maana si upon mjini hajathiri makazi yako anakutwanga na kifungu hicho si maumivuivu