Wewe ndio kampeni meneja wake?Yeye mwenyewe anachangamoto ya kutaka ubunge wa Iringa mjini sijui aliwasiilisha kwa chongolo au mama yake au kinaña
Inasemekana kuwa Katibu Mkuu huyo wa umoja wa Vijana anatumia gari jipya aina ya Range Rover ya Mwaka 2020 ambalo inasemekana amehongwa na Diblo dibalaUVCCM_ TAIFA
KESHO
SEPT. 08, 2022
UPANGA, DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi atasikiliza Changamoto na Maoni kutoka kwa Vijana kesho 08/09/2022 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu UVCCM, Upanga kuanzia saa 6:00 Mchana.
View attachment 2349364
VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#VijanaGreenMarathon
#KaziIendelee
Diblo dibala yupo busy na magitar huko congo. Mnataka mkuu wa vijana aendeshe vibakuli acha mambo ya kichawi we mshana. Range hata 58m unapata, Sasa huyu alikimbiza mwenge tz nzima, amekuwa mkuu wa wilaya, mjasiriamali, Sasa ni CS wa UVccm, anakosaje 58m ya kujinunulia dungu akijichanga siku zote hizi?? Acheni hizoInasemekana kuwa Katibu Mkuu huyo wa umoja wa Vijana anatumia gari jipya aina ya Range Rover ya Mwaka 2020 ambalo inasemekana amehongwa na Diblo dibala
Aisee!?Diblo dibala yupo busy na magitar huko congo. Mnataka mkuu wa vijana aendeshe vibakuli acha mambo ya kichawi we mshana. Range hata 58m unapata, Sasa huyu alikimbiza mwenge tz nzima, amekuwa mkuu wa wilaya, mjasiriamali, Sasa ni CS wa UVccm, anakosaje 58m ya kujinunulia dungu akijichanga siku zote hizi?? Acheni hizo
UdakuUVCCM_ TAIFA
KESHO
SEPT. 08, 2022
UPANGA, DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi atasikiliza Changamoto na Maoni kutoka kwa Vijana kesho 08/09/2022 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu UVCCM, Upanga kuanzia saa 6:00 Mchana.
View attachment 2349364
VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#VijanaGreenMarathon
#KaziIendelee