ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 643
- 1,603
Katibu Mkuu na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ndugu Ado Shaibu amekamatwa na Polisi ili kuzuiwa asihudhurie Mkutano wa Tundu Lissu unaofanyika Jimboni Kwake.
Ndugu Ado Shaibu natuhumiwa kutumia Kampeni zake kuhamasisha wakulima wa korosho kugomea Mfumo wa Stakabadhi Ghalani mpaka ufanyiwe marekebisho, pamoja na kuhamasisha Wakulima kujilinda dhidi ya Tembo wanaovamia Mashamba na Makazi yao.
Vitendo vya Jeshi la Polisi kuwasumbua, kuwapotezea muda na kuwadhibiti Viongozi wa Vyama vya Upinzani kufanya siasa vimekithiri mno katika kipindi hichi cha uchaguzi. Vitendo hivi vimeutia dosari uchaguzi huu na katu havikubaliki wala havivumiliki.
View attachment 1610412
Katibu Mkuu akizungumza na muathirika wa Uvamizi wa Tembo katika Mashamba.
View attachment 1610420
Katibu Mkuu akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Tunduru Kaskazini.
Salum mwalimu alipofika hapo aliwaasa Wana CDM wampigie kura Ado maana ndio anakubalika huko.Natumai CDM watampa ushirikiano endapo ni kinara huko.
Ado hana akili kama zako we msaliti, uliesaliti mageuzi ukaenda kupewa mimba na @Mwiguru ukambambikizia kijana mwezetu mimba asiehusika.Ado ratibu mkutano wa kuwaondoa Zitto na Seif kwa usaliti wao dhidi ya mgombea urais
Semaaa usiogope sema!Ado hana akili kama zako we msaliti, uliesaliti mageuzi ukaenda kupewa mimba na @Mwiguru ukambambikizia kijana mwezetu mimba asiehusika.
Juuuu juuu juuuuu juliaaaanaaaaaaAdo hana akili kama zako we msaliti, uliesaliti mageuzi ukaenda kupewa mimba na @Mwiguru ukambambikizia kijana mwezetu mimba asiehusika.
Juuu Juuuu Juuuu juuuuu juliaaaanaaaaaaAdo ratibu mkutano wa kuwaondoa Zitto na Seif kwa usaliti wao dhidi ya mgombea urais
Wapi #Mdudu Chadema kwa sauti ya Nyoshi, kadema na Mbowe hawana muda ana makamanda wanaosweka ndani kwa "ujinga wao" wa kukipigania chama, yule dogo wa jana aliyetumwa kupiga shoti kwenye mkutano wa Arusha sasa hivi yupo anahangaika yeye tu na wazazi wake!Natumai CDM watampa ushirikiano endapo ni kinara huko.
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawalaCCM siku hizi haina tofauti na kikundi cha wahuni