Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Marekani ajiuzulu baada ya kugundulika shoga

Mbona sikuwahi sikia shykhe wa msikiti flani ndani ya nchi flani ni Shoga?
Wakristo mujitathmini.
Hivi yule aliyemlaani fande sele kwani vipi mbona afande hadi leo anakula bhange tu, naye yule bwwabwah ndomana hata laana haijafika
 
Mbona sikuwahi sikia shykhe wa msikiti flani ndani ya nchi flani ni Shoga?
Wakristo mujitathmini.
Temea mate chini hili jambo si la utani na kwa taarifa yako Mashehe ndo wanashiriki kwa zaidi vitendo hivi na tuelewe kuwa si kutembelewa tu hata kama wewe unamchukua mwanaume au mwanamke mwenzio wewe ni shoga.
hili jambo si [a mdhaha ni kuomba MWENYEZI MUNGU lisiingie kwa jamii zetu kwa kiasi kikubwa jambo mazingira ya udhaifu wa serikali zetu za Kiafrika kukubali kila kitu bila tafakari ya kina toka hata kwa wataalamu wa ndani na kingine kwa kundi la wataalamu kukubaliana na matakwa ya serikali na kama haitoshi kutowajibika kwa vyombo vinavyosimamia maadili ikiwemo baraza la sanaa na wizara inayoshughulikia tamaduni zetu kwa ujumla ni wazi hatuna muda mrefu wa kutunza mila nadesturi zetu sina uhakika kama tunaweza kuvuka miaka 20 kila kitu kitakuwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…