Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Marekani ajiuzulu baada ya kugundulika shoga

Nipe ushahidi kua kiongozi wa kiisla kwenye nyanja yeyote ni shoga, awe sheykh, ama imamu.
Nyinyi wakristo ni ndio muna kumbatia mambo ya kichoko, mfano huyo kiongozi wako hapo marekani anapakuliwa huku akieneza injili.
Wakristo mujitathmini, la sivyo baada ya miaka 100 huko mbele mutapoteana kwa kashfa hii.
Nahisi hata papa nae wenda anapakuliwa.
 
MUNGU aliyesema askofu awe mume wa mkewe mmoja alikuwa na akili kubwa kuliko wao mara 100, Aliona mbali mara 100 zaidi yetu sisi.
 
Kama kawaida tuhuma za ushoga kwa viongozi wa kanisa alaf kuna mijitu cjui ni imelogwa hizi taarifa zinajidai azioni zinakuja sema. Wapemba ndio michezo yao Hali ya kua kila cku kanisa lina izo tuhuma
 
hivi unaweza kusoma tena ulichoandika?
ushahidi ninao lakini sihitaji kuutaja hauna tija kwa jamii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Kiingereza ni tatizo, zaidi ya kuwa kwenye mtandao huo hakuna ushahidi wa jambo jingine baya dhidi yake. Amejiuzulu kutokana na kuwepo tu katika mtandao huo kunaenda kinyume na maadili ya kazi yake.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Amka kumekucha, mashoga waislam walianzisha mpaka msikiti wao huko Afrika Kusini.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…