Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 24, 2021 #61 Ile kitu inayomeza mwenzake inaumuhimu wake sana... Mungu siyo mjinga kuwakutanisha Adam na Eve...
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 4,942 Reaction score 20,077 Jul 30, 2021 Thread starter #62 permanides said: Kiingereza ni tatizo, zaidi ya kuwa kwenye mtandao huo hakuna ushahidi wa jambo jingine baya dhidi yake. Amejiuzulu kutokana na kuwepo tu katika mtandao huo kunaenda kinyume na maadili ya kazi yake. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Kuhudhuria baa za mashoga na kukesha baa maalum za mashoga alikua anafanya nini?
permanides said: Kiingereza ni tatizo, zaidi ya kuwa kwenye mtandao huo hakuna ushahidi wa jambo jingine baya dhidi yake. Amejiuzulu kutokana na kuwepo tu katika mtandao huo kunaenda kinyume na maadili ya kazi yake. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Kuhudhuria baa za mashoga na kukesha baa maalum za mashoga alikua anafanya nini?
Amun Ra JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 4,713 Reaction score 7,218 Aug 1, 2021 #63 Kitoabu said: Mbona sikuwahi sikia shykhe wa msikiti flani ndani ya nchi flani ni Shoga? Wakristo mujitathmini. Click to expand... shykhe naona unaingiza na mahaba ya kidini?
Kitoabu said: Mbona sikuwahi sikia shykhe wa msikiti flani ndani ya nchi flani ni Shoga? Wakristo mujitathmini. Click to expand... shykhe naona unaingiza na mahaba ya kidini?
Nyonzo bin mvule JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 2,428 Reaction score 6,929 Aug 1, 2021 #64 Janja weed said: Hivi yule aliyemlaani fande sele kwani vipi mbona afande hadi leo anakula bhange tu, naye yule bwwabwah ndomana hata laana haijafika Click to expand... Mpe kinyeo siku moja ndo utamjua kama yeye ni shoga,,, inabidi mjitathmini why kashfa nyingi za uchoko zipo kanisani tena kwa viongozi waandamizi
Janja weed said: Hivi yule aliyemlaani fande sele kwani vipi mbona afande hadi leo anakula bhange tu, naye yule bwwabwah ndomana hata laana haijafika Click to expand... Mpe kinyeo siku moja ndo utamjua kama yeye ni shoga,,, inabidi mjitathmini why kashfa nyingi za uchoko zipo kanisani tena kwa viongozi waandamizi
Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 9,034 Reaction score 6,913 Aug 2, 2021 #65 Hili kanisa limekuwa maarufu sana kwa mashoga na kuwabaka watoto wadogo . Kazi Sana hizi imani za wazungu ndio maana niliachaga
Hili kanisa limekuwa maarufu sana kwa mashoga na kuwabaka watoto wadogo . Kazi Sana hizi imani za wazungu ndio maana niliachaga
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 10,677 Reaction score 11,768 Aug 2, 2021 #66 kipara20 said: shykhe naona unaingiza na mahaba ya kidini? Click to expand... Me, sio sheykh wala imamu. Ni mchizi boti flani hivi.
kipara20 said: shykhe naona unaingiza na mahaba ya kidini? Click to expand... Me, sio sheykh wala imamu. Ni mchizi boti flani hivi.