Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi. CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi ya mabasi? Wamekosa uwanja wa kufanyia mkutano huo? Kuna siri kubwa inafichwa na viongozi wa chama...
www.jamiiforums.com