MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Duuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mzee usituvunje mbavu. Hao hawaongei na mbwa wanaongea na mwenye mbwa.Shaibu kapigwa chini ila issue ni kuwa jamaa walipigwa chini na vikao vyote kuanzia Wilaya mpaka kamati ya Mkoa na kumbuka upande wa madiwani katiba ya chama inatoa mamlaka yote kwa viongozi wa Mkoa sasa viongozi wa Mkoa wameshafanya maamuzi jamaa wakapiga simu kwa Bashiru kwa mujibu wa maelezo yao na Bashiru akaamuru jamaa wapewe barua za uteuzi na za mwanzo zifutwe sasa jamaa saizi wanatamba kwamba wao hawa deal na mkoa wana deal na Taifa sasa hii imefanya wananchi waseme sawa tuone hao wa taifa kama ndio wapiga kura mabalozi wengi weshagoma kufanya kampeni na ndio maana tunasema ichunguzwe ukweli ujulikane ili haki ipatikane ila saizi viongozi wa Mkoa na Wilaya wanadharaulika kisa wao wana deal na Bashiru
Acha uongo mkuu ss tushaichoka ccm sema mfumo tu ndio kandamiziOk tangu lini watu wa Songea wakaipinga ccm
Nyerere wakati wa kutafuta uhuru sehemu ya kwanza kwenda ni huko Peramiho songea vijijini kwa wamisionari wa kizungu wa kibenediktini ili wamuunge mkono na walimuunga mkono apiganie uhuru
Ccm na Songea ni kama meno na Fizi vinafanya kazi pamoja
Huo Mkoa wa Ruvuma plus Dodoma ni kambi za ccm
Ccm hata ikiweka jiwe linashinda huko
Historia ya Mwalimu Nyerere na mkoa wa Ruvuma ni mkubwa sana
Hata vita vya Idd Amini kambi za huko Ruvuma za kijeshi ndizo zilizoenda Bukoba huko na silaha nzito kwenda kuweka mambo sawa
Mkuu mambo mengine yana historia yake,Mwalimu Nyerere aliwaamini wangoni kama watu jasiri na watu wazalendo mpaka leo huko songea ccm haina upinzani kabisa
Wangoni na ccm wana historia ndefu tangu enzi za Mwalimu Nyerere
Mwalimu vikao vingi vya maamuzi na ziara alizifanya huko Songea
Leo hii hakuna mwanaccm anayefikiria eti wangoni watawasaliti
Kumbuka wangoni hii nchi sio yao walitokea Afrika kusini huko hivyo wanaogopa kurudishwa kwao,wanafuata sheria na kanuni za chama
Wewe nani,Wangoni ndio wazalendo Tanzania tangu enzi za Nyerere
Upinzani hata wa ndani ya chama kimoja unaweza kuwa upoKwani Songea kuna upinzani mpaka uogope?
Kama mngechoka Jenista amepata kura zaidi ya 800 na anayefuata kura chini ya 50Acha uongo mkuu ss tushaichoka ccm sema mfumo tu ndio kandamizi
Hii nchi ukifuatilia makabila kila MTU n mhamiaji sisi n RAIA halali wa taifa hili
naskia jambo lako wamelifanyia kazi ni kweli ?Bashiru kama Katibu Mkuu wa CCM inapaswa hutumie vyombo vyako vyote vya usalama wa chama ili upewe taarifa sahihi ya mkoa wa Ruvuma.
Ishu ni kuwa kuna kata zaidi ya nne kamati ya Mkoa ilikwisha kuamua na mchakato wa kuwapa Madiwani watarajiwa barua za uteuzi ulikwisha fanyika mara ghafla mchakato ukasimamishwa kwa maelezo ya kuwa Bashiru umetoa maagizo ifanyike hivyo. Hatukatai inaweza kuwa sawa ila umetafuta kujua sifa za hao unaotaka wachaguliwe wewe? Umesikia namna wanavyolitumia jina lako katika huu mchakato?
1- Kata ya Ruhuwiko huyo Mgombea bwana Mahundi anayesema wewe ndiye umeagiza achaguliwe, ndiye yule aliyewai kushikwa Malawi kwa tuhuma za kuingia nchi ya watu bila kibali na nchi haikuwa na taarifa zake na kuzua sitofahamu na akawa ameitelekeza kata zaidi ya miezi 6 bila muwakilishi. Kama haitoshi huyu ndiye aliyeanzisha kikundi cha kusaidia walemavu na kuweka majina ya mke wake na mwanae pia watu wazima(wasio na ulemavu) na vikao vya nidhamu vya chama na madiwani walimwita akaomba msamaha.
2- Kata ya Subira huyu mgombea anayesema wewe ndiye chaguo lako kumbuka ndiye alikuwa Meya wa manispaa ya Songea na ndiye aliekuwa analeta ugomvi kila siku na Mkurugenzi na kupelekea migogoro ya manispaa kila siku na hata kufanya Manispaa ipate hati chafu.
Bashiru, hawa watu sasa kutokana na kurudishwa na wewe wamekuwa na kauli za kuwadharau viongozi wote wa kamati ya siasa ya Mkoa na kusema wao wanakujua wewe hawa wengine kwao si lolote maana wao wana watu ndani ya CCM Taifa.
Ushauri: Tumia vyombo vyako vya chama kujua ukweli usipuuze vitu kwa kuzani siasa wapinzani wataifurahisha Songea kwa uzembe unaoepukika kabisa na tabu mnao wabeba kauli zao ndio zimewavunja moyo kabisa wapiga kura sasa wana Songea wanataka kuona hicho kiburi unachowapa kama kitasaidia chama kwenye uchaguzi.
Nasisitiza, tuma vyombo vyako ujue ukweli wa mambo.
Ahaaa mkuu kwa hyo babu zetu walikuwa vi...t...mb..i sanaKama mngechoka Jenista amepata kura zaidi ya 800 na anayefuata kura chini ya 50
Sasa wewe umechoka kama nani?
Songea ni kambi ya ccm,Wangoni ndio wahamiaji wanaojulikana hapa Tanzania
Makabila mengine ni story tu,Wangoni walivamia Songea kinguvu na bila kudhibitiwa na kukubaliana na Mkwawa wa Iringa leo hii nchi hii wangejaa wao
Wangoni si unajua walikuja wanaume tu Tanzania,wametembeza dude na kupora wake za watu ndio hii idadi imefikia
Kwani hujui? Hadi hivi ninavyoandika Mpe pesa atafikisha, ukimpa mke kama ana usafiri utaukuta nje ya nyumba ya kulala wageni, najua unajuaAhaaa mkuu kwa hyo babu zetu walikuwa vi...t...mb..i sana
Bashiru kama Katibu Mkuu wa CCM inapaswa hutumie vyombo vyako vyote vya usalama wa chama ili upewe taarifa sahihi ya mkoa wa Ruvuma.
Ishu ni kuwa kuna kata zaidi ya nne kamati ya Mkoa ilikwisha kuamua na mchakato wa kuwapa Madiwani watarajiwa barua za uteuzi ulikwisha fanyika mara ghafla mchakato ukasimamishwa kwa maelezo ya kuwa Bashiru umetoa maagizo ifanyike hivyo. Hatukatai inaweza kuwa sawa ila umetafuta kujua sifa za hao unaotaka wachaguliwe wewe? Umesikia namna wanavyolitumia jina lako katika huu mchakato?
1- Kata ya Ruhuwiko huyo Mgombea bwana Mahundi anayesema wewe ndiye umeagiza achaguliwe, ndiye yule aliyewai kushikwa Malawi kwa tuhuma za kuingia nchi ya watu bila kibali na nchi haikuwa na taarifa zake na kuzua sitofahamu na akawa ameitelekeza kata zaidi ya miezi 6 bila muwakilishi. Kama haitoshi huyu ndiye aliyeanzisha kikundi cha kusaidia walemavu na kuweka majina ya mke wake na mwanae pia watu wazima(wasio na ulemavu) na vikao vya nidhamu vya chama na madiwani walimwita akaomba msamaha.
2- Kata ya Subira huyu mgombea anayesema wewe ndiye chaguo lako kumbuka ndiye alikuwa Meya wa manispaa ya Songea na ndiye aliekuwa analeta ugomvi kila siku na Mkurugenzi na kupelekea migogoro ya manispaa kila siku na hata kufanya Manispaa ipate hati chafu.
Bashiru, hawa watu sasa kutokana na kurudishwa na wewe wamekuwa na kauli za kuwadharau viongozi wote wa kamati ya siasa ya Mkoa na kusema wao wanakujua wewe hawa wengine kwao si lolote maana wao wana watu ndani ya CCM Taifa.
Ushauri: Tumia vyombo vyako vya chama kujua ukweli usipuuze vitu kwa kuzani siasa wapinzani wataifurahisha Songea kwa uzembe unaoepukika kabisa na tabu mnao wabeba kauli zao ndio zimewavunja moyo kabisa wapiga kura sasa wana Songea wanataka kuona hicho kiburi unachowapa kama kitasaidia chama kwenye uchaguzi.
Nasisitiza, tuma vyombo vyako ujue ukweli wa mambo.
Yap ila kwa baadhi ya maeneo lakini kwa mjini kuna kata mbili muhimu ambazo hawajafanyia mabadiriko lizabon na Ruhuwiko izi ndio chimbuko la mgogoro cz hao jamaa ndio kundi moja na izo zilizo fanyiwa kazi juzi jamaa wanagawa chama sana kwa wana nchi hawana mvuto sasa wamebaki kutumia pesa kuanzisha migogoronaskia jambo lako wamelifanyia kazi ni kweli ?