SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Si useme ni wewe tuu kwani kuna shida ganiDk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Akifurahia Sikukuu ya Krismasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake Bukoba Mkoani Kagera.
Anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.View attachment 977011
Hivi huyu ni doctor wa kweli maana siku hizi simuelewi kabisa?Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Akifurahia Sikukuu ya Krismasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake Bukoba Mkoani Kagera.
Anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.View attachment 977011
Merry Christmas shemeji[emoji1][emoji1][emoji1] View attachment 977017
Hivi huyu ni doctor wa kweli maana siku hizi simuelewi kabisa?
Shemeji hilo joka linadai kuwa ni lipole sana wala halina shida na mtu!![emoji1][emoji1][emoji1]Merry Christmas shemeji
Siku hizi Dr bashiru na Pr Kabudi ni watu wa ajabuAlikuwa kabla hajaicha alipokuwa na kuingia sisiemu.. Huko walimkabidhi ubongo wa kijani..
Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Akifurahia Sikukuu ya Krismasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake Bukoba Mkoani Kagera.
Anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.View attachment 977011[/QUOuTE]
Kashamaliza kujenga gorofa lake la pale Kinondoni Masai?
Ebu rudia, nini? Shetani anawatakia wanadamu amani?Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Akifurahia Sikukuu ya Krismasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake Bukoba Mkoani Kagera.
Anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.View attachment 977011