Katibu Mkuu wa CCM, DKT Bashiru Ally anawatakia krismas njema

Katibu Mkuu wa CCM, DKT Bashiru Ally anawatakia krismas njema

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
439
Reaction score
742
Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Akifurahia Sikukuu ya Krismasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake Bukoba Mkoani Kagera.

Anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.
IMG-20181225-WA0060.jpeg
 
Asantee dokta na kwako pia uwe na krismas njema
 
Ninamtakia Christmas njema mtukufu rais, akumbuke kumhimiza Jaji wa ile kesi amtoe kiongozi wetu Mbowe kutoka gerezani.
 
Mwambie Membe naye anamsalimia.. Tukiwa hapa Rondo Lindi
 
Back
Top Bottom