Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aanza ziara ya Kikazi Nchini Marekani

Bilashaka updates za ziara yake,zitakua zinatolewa na akikutana na VP huko nje ya nchi,amsihi siku nyingine aambatane na hata mwandishi mmoja, tupatage updates ili tupatage yanayojiri huko ziarani.
 
Haja enda na Sugu?
Maana Balozi wa US si mlisema alienda Mbeya?
 
Hahah Mnyika ni Mbumbumbu, hivi Bado anaugua ukichaa?

Huko Us asijejitupa gorofani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…