Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Kwa Katiba ya Chadema wanachama hawafutiwi uanachama kwa namna hiyo unayotakaOhooo! Itakuwa Nkurunziza amemuagiza Mnyika kumfutia uanachama mara moja huyu mbangaizaji.
Hivi vyama vya watu hivi a.k.a saccos ni hatari sana.
Unataka wafanye nini ili ujue wako neutral, Wameropoka nini, lini na wapi?Mrema na Kingai unaweza kusema wapo Neutral?
Mkuu sisi ni watu wazima tunajua mambo, hata Petrol alikana kuwa siyo mfuasi wa Yesu lakini matendo yake yalimshitakiUnataka wafanye nini ili ujue wako neutral, Wameropoka nini, lini na wapi?
😀🤣Aiseeh!Naye anataka kutangaza kugombea uenyekiti 😹😹😹
Mkuuu hili jambo kila mtu analijua Vizur. Hata wewe una upande lakin upande wako haupendwi na wengi.Unataka wafanye nini ili ujue wako neutral, Wameropoka nini, lini na wapi?
Haiwezekani hicho unachokitaka, kwamba kwa vile tuliteuliwa na Mbowe basi tusimsalimie kisa anagombea uenyekiti dhidi ya Lissu.Mkuu sisi ni watu wazima tunajua mambo, hata Petrol alikana kuwa siyo mfuasi wa Yesu lakini matendo yake yalimshitaki
Kuwa na pande kwenye chaguzi za haki ndio Demokrasia yenyeweMkuuu hili jambo kila mtu analijua Vizur. Hata wewe una upande lakin upande wako haupendwi na wengi.
Wewe ni Yericko Nyerere hii I'd yakoHaiwezekani hicho unachokitaka, kwamba kwa vile tuliteuliwa na Mbowe basi tusimsalimie kisa anagombea uenyekiti dhidi ya Lissu.
Hata Yesu hakuwa hivyo, ndio maana nikakuuliza wameropoka nini
Kwa Mujibu wa Sheria za JF ni makosa kutaja majina ya watuWewe ni Yericko Nyerere hii I'd yako
Labda atatoa ushahidi wa Msimbazi center Kwa cardinal Pengo 😃Imekua sifa sasa 😅
Kwani Mbowe aliteua watu wawili pekee? Mbona Mnyika yupo Neutral, Malisa, MMM n.k, kwanza uchaguzi siyo uadui mimi natamani CHADEMA washindane kwa hoja waache matusi kwa viongozi wao sababu ni faida kubwa sn kwa CCM, lakini pia Mbowe angeachana na kugombea kama ameshindwa kufanya jambo kwa miaka 20 hawezi kulifanya kwa miaka 5 tu. Ni ushauriHaiwezekani hicho unachokitaka, kwamba kwa vile tuliteuliwa na Mbowe basi tusimsalimie kisa anagombea uenyekiti dhidi ya Lissu.
Hata Yesu hakuwa hivyo, ndio maana nikakuuliza wameropoka nini
Unazungumziaje swala la mbowe kufananishwa na mugabe, kaguta museveni, Lipumba na kagame?Hii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani.
View attachment 3194108View attachment 3194109
Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika
Nimeuliza ni wapi kigaila na Mrema wamemtukana Lissu, lini? tuwekee tukubali hoja yako.Kwani Mbowe aliteua watu wawili pekee? Mbona Mnyika yupo Neutral, Malisa, MMM n.k, kwanza uchaguzi siyo uadui mimi natamani CHADEMA washindane kwa hoja waache matusi kwa viongozi wao sababu ni faida kubwa sn kwa CCM, lakini pia Mbowe angeachana na kugombea kama ameshindwa kufanya jambo kwa miaka 20 hawezi kulifanya kwa miaka 5 tu. Ni ushauri
Hizo ni Kampeni, tunaambiwa tuwe neutral, Nisingependa kulisemea hilo, ila nakupa Tip, angalia katiba yao inasemaje?Unazungumziaje swala la mbowe kufananishwa na mugabe, kaguta museveni, Lipumba na kagame?
Hapo aseme tu kuwa mbowe kajitoa. Itakua bonge la shangweHii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani.
View attachment 3194108View attachment 3194109
Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika
Hata mimi sijasema ni uchaga, kwani Kingai ni mchaga? wachaga wangapi wamemkataa Mbowe au marehemu Mrema? hakuna sehemu nimesema Kingai au Mrema ametukana lakini inajulikana ni wafuasi wa nani na siyo kosa, japo tunashauri wabaki Neutral.Nimeuliza ni wapi kigaila na Mrema wamemtukana Lissu, lini? tuwekee tukubali hoja yako.
Vinginevyo Uchaga wa Mrema tusiufanye Shoka la kumkatia, kumbuka karibu mambo yote aliyoyafanya Mrema kwenye utumishi wake alitumwa na Kamati Kuu, kosa lake ni lipi?
Si kweliLissu kuenguliwa
Mkuu uchaguzi una siri nyingi mno! ni Vigumu mno kujua nani atamchagua yupi, Tusiwalishe watu manenoHata mimi sijasema ni uchaga, kwani Kingai ni mchaga? wachaga wangapi wamemkataa Mbowe au marehemu Mrema? hakuna sehemu nimesema Kingai au Mrema ametukana lakini inajulikana ni wafuasi wa nani na siyo kosa, japo tunashauri wabaki Neutral.