Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Mikocheni

Ohooo! Itakuwa Nkurunziza amemuagiza Mnyika kumfutia uanachama mara moja huyu mbangaizaji.

Hivi vyama vya watu hivi a.k.a saccos ni hatari sana.
Kwa Katiba ya Chadema wanachama hawafutiwi uanachama kwa namna hiyo unayotaka
 
Mkuu sisi ni watu wazima tunajua mambo, hata Petrol alikana kuwa siyo mfuasi wa Yesu lakini matendo yake yalimshitaki
Haiwezekani hicho unachokitaka, kwamba kwa vile tuliteuliwa na Mbowe basi tusimsalimie kisa anagombea uenyekiti dhidi ya Lissu.

Hata Yesu hakuwa hivyo, ndio maana nikakuuliza wameropoka nini
 
Wewe ni Yericko Nyerere hii I'd yako
 
Haiwezekani hicho unachokitaka, kwamba kwa vile tuliteuliwa na Mbowe basi tusimsalimie kisa anagombea uenyekiti dhidi ya Lissu.

Hata Yesu hakuwa hivyo, ndio maana nikakuuliza wameropoka nini
Kwani Mbowe aliteua watu wawili pekee? Mbona Mnyika yupo Neutral, Malisa, MMM n.k, kwanza uchaguzi siyo uadui mimi natamani CHADEMA washindane kwa hoja waache matusi kwa viongozi wao sababu ni faida kubwa sn kwa CCM, lakini pia Mbowe angeachana na kugombea kama ameshindwa kufanya jambo kwa miaka 20 hawezi kulifanya kwa miaka 5 tu. Ni ushauri
 
Nimeuliza ni wapi kigaila na Mrema wamemtukana Lissu, lini? tuwekee tukubali hoja yako.

Vinginevyo Uchaga wa Mrema tusiufanye Shoka la kumkatia, kumbuka karibu mambo yote aliyoyafanya Mrema kwenye utumishi wake alitumwa na Kamati Kuu, kosa lake ni lipi?
 
Ninashauri,Sasa ni zamu ya Chadema kuongea na watanzania Moja Kwa Moja!
Kila siku kuongea na waandishi wa habari na wakitoka kwenye kikao,hawaandiki habari walizoambiwa au kusikia.
 
Unazungumziaje swala la mbowe kufananishwa na mugabe, kaguta museveni, Lipumba na kagame?
Hizo ni Kampeni, tunaambiwa tuwe neutral, Nisingependa kulisemea hilo, ila nakupa Tip, angalia katiba yao inasemaje?
 
Nimeuliza ni wapi kigaila na Mrema wamemtukana Lissu, lini? tuwekee tukubali hoja yako.

Vinginevyo Uchaga wa Mrema tusiufanye Shoka la kumkatia, kumbuka karibu mambo yote aliyoyafanya Mrema kwenye utumishi wake alitumwa na Kamati Kuu, kosa lake ni lipi?
Hata mimi sijasema ni uchaga, kwani Kingai ni mchaga? wachaga wangapi wamemkataa Mbowe au marehemu Mrema? hakuna sehemu nimesema Kingai au Mrema ametukana lakini inajulikana ni wafuasi wa nani na siyo kosa, japo tunashauri wabaki Neutral.
 
Mkuu uchaguzi una siri nyingi mno! ni Vigumu mno kujua nani atamchagua yupi, Tusiwalishe watu maneno
 
Back
Top Bottom