Maelekezo kuhusu uchaguzi ama kuwarudiaha mstarini mahasimu?Hii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani.
View attachment 3194108View attachment 3194109
Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika
Ukatibu haugombewiNi kwanini Lema asijitose ukatibu mkuu wa CHADEMA?
Kwahiyo ndio maana tuna Katibu wa maisha?Ukatibu haugombewi
Ohooo! Itakuwa Nkurunziza amemuagiza Mnyika kumfutia uanachama mara moja huyu mbangaizaji.
Hivi vyama vya watu hivi a.k.a saccos ni hatari sana.
Ulishawahi kuona mtu anagombea ukatibu mkuu wa wizara au mtu atagombea uwaziri.Kwahiyo ndio maana tuna Katibu wa maisha?
Kuna ubaya gani kama tukiwa the world first na baadae the rest wakatuiga?Ulishawahi kuona mtu anagombea ukatibu mkuu wa wizara au mtu atagombea uwaziri.
Kilewo na kigaila na mrema na mnyika mwnyw ni team mbowe khs kura mi sizungumzii kura hapa npo kwny hoja yako ya hq kwamba hawana upandeUnao ushahidi kidogo wa kuthibitisha hilo?
Halafu kura ni ngapi na Makao Makuu wako wangapi?
Hivi mtaacha lini kuwa wapiga ramli chonganishi?. Wewe si mjumbe wa kamati kuu na huna kura hapo ndiyo maana unapayuka na presha juu hadi unasahau Chadema ni taasisi yenye kuendeshwa kidemokrasia. Acha ushabiki ndugu.Ohooo! Itakuwa Nkurunziza amemuagiza Mnyika kumfutia uanachama mara moja huyu mbangaizaji.
Hivi vyama vya watu hivi a.k.a saccos ni hatari sana.
KumekuchašHii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani.
View attachment 3194108View attachment 3194109
Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika
Mnyika anaweza kuweka mpira kwapani na kumg'oa Lissu kwenye huu mtanange, ngoja tukaisome vizuri katibašKumekuchaš
Bado hamjasemaHii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani.
View attachment 3194108View attachment 3194109
Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika
Maybe anajiizuluMnyika anaweza kuweka mpira kwapani na kumg'oa Lissu kwenye huu mtanange, ngoja tukaisome vizuri katibaš
Saa saba kasoro now mkuuHii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani.
View attachment 3194108 mView attachment 3194109
Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika