Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Mikocheni

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Mikocheni

Ohooo! Itakuwa Nkurunziza amemuagiza Mnyika kumfutia uanachama mara moja huyu mbangaizaji.

Hivi vyama vya watu hivi a.k.a saccos ni hatari sana.

Hawawezi kukosa akili kiasi hicho kufanya kosa la kiufundi kama Hilo
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Unao ushahidi kidogo wa kuthibitisha hilo?

Halafu kura ni ngapi na Makao Makuu wako wangapi?
Kilewo na kigaila na mrema na mnyika mwnyw ni team mbowe khs kura mi sizungumzii kura hapa npo kwny hoja yako ya hq kwamba hawana upande
 
Ohooo! Itakuwa Nkurunziza amemuagiza Mnyika kumfutia uanachama mara moja huyu mbangaizaji.

Hivi vyama vya watu hivi a.k.a saccos ni hatari sana.
Hivi mtaacha lini kuwa wapiga ramli chonganishi?. Wewe si mjumbe wa kamati kuu na huna kura hapo ndiyo maana unapayuka na presha juu hadi unasahau Chadema ni taasisi yenye kuendeshwa kidemokrasia. Acha ushabiki ndugu.
 
Back
Top Bottom