Katibu Mkuu wa Chadema, Mheshimiwa John Mnyika aongea na Wanahabari

MBONA MKIENDA HOSP. MKIKUTA WACHAGA HAM'BISHI KUTIBIWA? WACHAGA WALISHATANGULIA HATA UWE NA WIVU KAMA WA NYEGELE HAUTAFUA DAFU NA UKITAKA KUJUA WACHAGA WAPO JUU NENDA DSM KUANZIA TAREHE 27/12/2019 KAMA UTAKUTA FOLENI YA MAGARI
 
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema wataendelea kushinikiza uwepo wa Tume huru ya uchaguzi lakini siyo kwa kubweteka bali huku wakiendelea kudai haki zao nyingine.

Mnyika amesisitiza iwapo serikali ya CCM haitawapa haki yao kwenye sahani basi wataitafuta wenyewe kwa kutumia njia nyingine za kidemokrasia.

Source ITV habari

My take; Hizo njia nyingine za kiddemokrasia ndio zipi?

Maendeleo hayana vyama!
 
siri yao! hivi Membe et al mnawaita lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…