Katibu Mkuu wa Chadema, Mheshimiwa John Mnyika aongea na Wanahabari

HEBU AANGALIE KWANZA KAMA HUKO CHADEMA KAMA KUN DEMOCRASIA KAMA MTU AKITAKA KUGOMBEA UENYEKITI TAIFA LAZIMA APOTEE CHADEMA NA ANACHOKITAKA HATOKIPATA ATABAKIKUWA MPINZANI TU MILELE
 
Wasanii hao wasikuumize kichwa
Alitakiwa aseme tutaandamana akione cha moto,mambo ya kuremba na kupooza kauli ni uoga na kuishiwa pumzi tu
Wajiandae kukabidhi uongozi wa kambi ya upinzani mwakani Kwa ACT. Hii kitu inawaumiza sana
 
Wajiandae kukabidhi uongozi wa kambi ya upinzani mwakani Kwa ACT. Hii kitu inawaumiza sana

Cdm haigombanii kuwa chama kikuu cha upinzani, labda kama ACT ndio inagombea nafasi hiyo.
 
Jamaa naona wanataka kumuiga Raila Odinga, labda wasichokijua ni kwamba Raila Odinga ni tribal leader na hivyo Wajaluo wote na ndugu ya Wajaluo 100% wako nyuma yake, hivyo anapigania maslahi ya Wajaluo Kenya na ndo maana ana uwezo wa kuitisha na maandamano na kuisimamisha nchi, sasa chadema hata huko Uchagani tu wanagawana kura na CCM, sasa utamuingiza nani barabarani?
 
Cdm haigombanii kuwa chama kikuu cha upinzani, labda kama ACT ndio inagombea nafasi hiyo.
Hata ACT nia yao in kukamata dola. Lakini inaposhindikana ni faraja kubwa kuwa mpinzani mkuu. Inakupa leverage na kukutofautisha na vyama kama kina nccr anakoelekea chadema.
 
Mnyika awe mkali na tabia ya kushambuliana mitandaoni bila kuangalia uso wa mtu. Huwezi kuwa na jeshi imara huku askari hawaaminiani. Chadema uchaguzi umeisha lakini vinyongo havijaisha pande zote.

Majeraha ya 2015 hayajapona wanajenga migogoro mingine chama chenyewe bado kina changamoto nyingi. Hivi Mdee alikuwa na ulazima wa kumjibu Mwambe? Hakuna platform ya kusolve hayo nje ya Twitter?

Wako watu wengi wana majeraha ila wameamua kukaa kimya kwa busara kwanini msirudi chini mtafakari hayo majeraha na kuyaweka sawa? Hivi mnafikiri akina Selasini wana roho za chuma na yameisha?

Jeshi imara ni lenye nidhamu na ari ya vita kabla ya silaha bora. Mnahitaji mtaji wa watu kuwaunga mkono na kuwaamini. Mjitafakari kabla hamjatafakari namna ya kuwakomboa Watanzania.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna vitu atakuja kuvijutia maishani siku zijazo Mnyika, ni pamoja na kukubali uteuzi huu wa ukatibu mkuu. Timing ni mbaya sana.
 
Kama kuna vitu atakuja kuvijutia maishani siku zijazo Mnyika, ni pamoja na kukubali uteuzi huu wa ukatibu mkuu. Timing ni mbaya sana.
Yes, Binafsi nimefarijika kuchaguliwa lakini kuna ukakasi mwingi namna atavyoweza kuongoza watu wanaomuogopa Mbowe tu! Ila Mnyika ni transparent akiona ukakasi usioeleweka ataacha siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…