Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
The Civic United Front-CUF Chama Cha Wananchi.
Katibu mkuu wa chama cha wananchi-CUF madam Husna Mohamed Abdallah Tarehe 11 February 2025
Alikwenda kumtembelea mmoja wa waasisi wa chama cha wananchi-Cuf ambae pia amewahi kuwa naibu katibu mkuu wa Chama cha Wananchi-Cuf bara na mbunge wa Jimbo la Bukoba mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi-Cuf, Mh. Lwekatare katika uchaguzi uliyopita aligombea uenyekiti wa Taifa.
Mpango huu ni mpango maalum wa Madam Husna ili kusaidia kupoza majeraha ya uchaguzi kwa wale wenye dhamira ya umoja, upendo na mshikamano, na wasiokua tayari kukidhuru chama kwa matakwa yao.
Hongera sana Mh. Wilfred Muganyizi Lwekatare wewe ni gwiji la siasa, wewe ni mwanasiasa, hakika ni kweli demokrasia ni pamoja na kukubali matokeo halali, mchango wako kwenye chama chetu na uwezo wako bado vinahitajika sana, tunakuombea uhai mrefu wenye afya njema.