Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
- Thread starter
- #21
Karibu sana Mkuu Pascal MayallaNaunga mkono hoja. Huyu ndie mkombozi wa Chadema, akiwa Chadema, alimwagiwa ugali wake, huku yeye ndiye mwenye bakuli la mboga, angekuwa ni mtu mwingine, baada ya watu kumwaga ugali, yeye angemwaga mboga!, lakini yeye hakumwaga ili kuinusuru Chadema! Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!
P