Katibu Mkuu wa FIFA Apanga Njama za Kumuondoa Gianni Infantino

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mattias Grafström amekuwa mshirika wa karibu sana na mtu wa kuaminika wa Gianni Infantino kwa miaka mingi ndani ya FIFA, akihudumu kama Mkuu wa Wafanyakazi kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu.

Kuna madai kuwa Katibu Mkuu wa FIFA, Mattias Grafström, anapanga njama za kumuondoa madarakani Rais wa FIFA, Gianni Infantino. Inadaiwa kuwa tayari kuna mpango unaolenga kumpindua kiongozi huyo wa sasa wa FIFA.

Soma Pia: Mataifa 55 ya UEFA yatangaza nia ya kususia Kombe la Dunia, ikiwa ni hatua ya kupinga mpango wa FIFA wa kuuza hisa za mashindano yake

Iwapo madai hayo yatathibitishwa na mpango huo utafanikiwa, Gianni Infantino anaweza kupoteza nafasi yake ya urais wa FIFA hivi karibuni.

SnapInsta-Ai_3953538964817757824_55613621717.jpg
 
Lakini pia hata Gianni Ifantino akiwa katiba mkuu wa FIFA wakati ule, alimuundia zengwe Rais wa FIFA wa wakati ule mzee Sepp Blatter 2025, kazee ka watu kakastaafu kwa fedheha sana.

In fact,
what goes around comes around to yourself 🐒
 
Uongozi wa juu wa sasa wa FIFA wote mashushu (CIA Agents). Wanatumika kwa maslahi mapana ya USA

UEFA wameng'amua mchezo mchafu unaotaka kuchezwa na wanapiga kelele kuuzuia lakini mwisho wa siku Infantino ataibuka mshindi wa mpango wake
 
Lakini pia hata Gianni Ifantino akiwa katiba mkuu wa FIFA wakati ule, alimuundia zengwe Rais wa FIFA wa wakati ule mzee Sepp Blatter 2025, kazee ka watu kakastaafu kwa fedheha sana.

In fact,
what goes around comes around to yourself 🐒
Na hicho hicho ndicho kitakacho ikumba ccm pia na ndio utakuwa mwisho wa machawa wasiopenda kufanya kazi.
 
Kukalia kiti Cha fifa na kuwa papa hizo position mbili unatakiwa kuwa exceptional sana kwenye ku deal na maadui
 
Mattias Grafström amekuwa mshirika wa karibu sana na mtu wa kuaminika wa Gianni Infantino kwa miaka mingi ndani ya FIFA, akihudumu kama Mkuu wa Wafanyakazi kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu.

Kuna madai kuwa Katibu Mkuu wa FIFA, Mattias Grafström, anapanga njama za kumuondoa madarakani Rais wa FIFA, Gianni Infantino. Inadaiwa kuwa tayari kuna mpango unaolenga kumpindua kiongozi huyo wa sasa wa FIFA.

Soma Pia: Mataifa 55 ya UEFA yatangaza nia ya kususia Kombe la Dunia, ikiwa ni hatua ya kupinga mpango wa FIFA wa kuuza hisa za mashindano yake

Iwapo madai hayo yatathibitishwa na mpango huo utafanikiwa, Gianni Infantino anaweza kupoteza nafasi yake ya urais wa FIFA hivi karibuni.

View attachment 3641083
Eti huyo katibu mkuu ana miaka 45 anaonekana mzee.
 
Back
Top Bottom