Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Lakini pia hata Gianni Ifantino akiwa katiba mkuu wa FIFA wakati ule, alimuundia zengwe Rais wa FIFA wa wakati ule mzee Sepp Blatter 2025, kazee ka watu kakastaafu kwa fedheha sana.Mattias Grafström amekuwa mshirika wa karibu sana na mtu wa kuaminika wa Gianni Infantino kwa miaka mingi ndani ya FIFA, akihudumu kama Mkuu wa Wafanyakazi kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu.
Kuna madai kuwa Katibu Mkuu wa FIFA, Mattias Grafström, anapanga njama za kumuondoa madarakani Rais wa FIFA, Gianni Infantino. Inadaiwa kuwa tayari kuna mpango unaolenga kumpindua kiongozi huyo wa sasa wa FIFA.
Iwapo madai hayo yatathibitishwa na mpango huo utafanikiwa, Gianni Infantino anaweza kupoteza nafasi yake ya urais wa FIFA hivi karibuni.
Na hicho hicho ndicho kitakacho ikumba ccm pia na ndio utakuwa mwisho wa machawa wasiopenda kufanya kazi.Lakini pia hata Gianni Ifantino akiwa katiba mkuu wa FIFA wakati ule, alimuundia zengwe Rais wa FIFA wa wakati ule mzee Sepp Blatter 2025, kazee ka watu kakastaafu kwa fedheha sana.
In fact,
what goes around comes around to yourself 🐒
ok.Na hicho hicho ndicho kitakacho ikumba ccm pia na ndio utakuwa mwisho wa machawa wasiopenda kufanya kazi.
Eti huyo katibu mkuu ana miaka 45 anaonekana mzee.Mattias Grafström amekuwa mshirika wa karibu sana na mtu wa kuaminika wa Gianni Infantino kwa miaka mingi ndani ya FIFA, akihudumu kama Mkuu wa Wafanyakazi kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu.
Kuna madai kuwa Katibu Mkuu wa FIFA, Mattias Grafström, anapanga njama za kumuondoa madarakani Rais wa FIFA, Gianni Infantino. Inadaiwa kuwa tayari kuna mpango unaolenga kumpindua kiongozi huyo wa sasa wa FIFA.
Soma Pia: Mataifa 55 ya UEFA yatangaza nia ya kususia Kombe la Dunia, ikiwa ni hatua ya kupinga mpango wa FIFA wa kuuza hisa za mashindano yake
Iwapo madai hayo yatathibitishwa na mpango huo utafanikiwa, Gianni Infantino anaweza kupoteza nafasi yake ya urais wa FIFA hivi karibuni.
View attachment 3641083