Katika hali ya kawaida na hata watoto wadogo hawawezi kuamini kwamba chombo nyeti kama PSRS kinaweza kuonyesha mazingaombwe kama yanayoendelea sasa hivi.
Nafasi za ajira zimetangazwa mwezi wa tano (May) lakini mpaka sasa katikati ya Novemba eti bado hata interview haijafanyika.
Kuna watu wamefanya interview tarehe 1-5 mwezi wa October lakn mpaka leo hawajaitwa kazini.
Hivi kuna haja ya kutangaza ajira kwa mazingira hayo,,,?
Haiwezekani interval kati ya tangazo la kazi mpaka Placement ikawa miezi 12,Vinginevyo hakuna umuhimu wa kuendelea kuwa na hiki chombo.
Na kama kuna tatizo au hakuna uwezekano wa kuajili watu,
basi Katibu mkuu itisha press comference ili umma ujue na uwaombe radhi waombaji kwa kuwapotezea muda wao.
Hayo ni maoni yangu wadau,,,