Katibu Mkuu Wa Sekretarieti Ya Ajira Unawaambia Nini Watanzania,,,,??

Katibu Mkuu Wa Sekretarieti Ya Ajira Unawaambia Nini Watanzania,,,,??

MR.LEO

Senior Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
129
Reaction score
25
Katika hali ya kawaida na hata watoto wadogo hawawezi kuamini kwamba chombo nyeti kama PSRS kinaweza kuonyesha mazingaombwe kama yanayoendelea sasa hivi.
Nafasi za ajira zimetangazwa mwezi wa tano (May) lakini mpaka sasa katikati ya Novemba eti bado hata interview haijafanyika.
Kuna watu wamefanya interview tarehe 1-5 mwezi wa October lakn mpaka leo hawajaitwa kazini.
Hivi kuna haja ya kutangaza ajira kwa mazingira hayo,,,?
Haiwezekani interval kati ya tangazo la kazi mpaka Placement ikawa miezi 12,Vinginevyo hakuna umuhimu wa kuendelea kuwa na hiki chombo.
Na kama kuna tatizo au hakuna uwezekano wa kuajili watu,
basi Katibu mkuu itisha press comference ili umma ujue na uwaombe radhi waombaji kwa kuwapotezea muda wao.
Hayo ni maoni yangu wadau,,,
 
katika hali ya kawaida na hata watoto wadogo hawawezi kuamini kwamba chombo nyeti kama psrs kinaweza kuonyesha mazingaombwe kama yanayoendelea sasa hivi.
Nafasi za ajira zimetangazwa mwezi wa tano (may) lakini mpaka sasa katikati ya novemba eti bado hata interview haijafanyika.
Kuna watu wamefanya interview tarehe 1-5 mwezi wa october lakn mpaka leo hawajaitwa kazini.
Hivi kuna haja ya kutangaza ajira kwa mazingira hayo,,,?
Haiwezekani interval kati ya tangazo la kazi mpaka placement ikawa miezi 12,vinginevyo hakuna umuhimu wa kuendelea kuwa na hiki chombo.
Na kama kuna tatizo au hakuna uwezekano wa kuajili watu,
basi katibu mkuu itisha press comference ili umma ujue na uwaombe radhi waombaji kwa kuwapotezea muda wao.
Hayo ni maoni yangu wadau,,,

vipi tunapaswa kuuwekea shaka uchapakazi wa katibu wa tume hiyo ndugu xaver daudi??
 
kazi kweli tanzania watu dhaifu wanaendelea kuongezeka kila kukicha. haya ndiyo madhara ya kuteua watu kirafiki na kujuana bila kujali utendaji wa kazi. mwisho wa haya yote unakaribia
 
Acha niseme ukweli, wakati nafasi hizo zinatoka LOWASA alikuwa kawasha moto kwamba Bomu litalipuka muda si mrefu, sasa ili kuficha ukweli serikali ilitangaza nafasi zaidi ya 2000. ili kujua hii ilikuwa ni siasa mpaka sasa haijaajiri,
lingine serikali yetu inasemekana haina pesa, Bungeni ktk bajeti zilikwenda figure tu, so ni vizuri kutafuta njia mbadala huku mkisikilizia. MUNGU NI MWEMA ATAFANYA NJIA.
 
kaka hapo ume nena, huo ndo ukwel 100%
 
Mh! Aisee. Kuna watu tumehitimu vi-diploma vyetu mwezi wa tano(ualimu,mifugo,kilimo,...........) tunasubiri hiyo hiyo sekretarieti ituajiri, sijui ngoja tuone mwisho wake.
 
Mh! Aisee. Kuna watu tumehitimu vi-diploma vyetu mwezi wa tano(ualimu,mifugo,kilimo,...........) tunasubiri hiyo hiyo sekretarieti ituajiri, sijui ngoja tuone mwisho wake.

Yaani tunapaswa kuomba Mungu mdau ili kupata ajira lakn tusiwategemee hawa PSRS!
 
Kwa kifupi sana ni kwamba wamevaa viatu visivyowatasha(mguu namba 3 kiatu namba 9) yaani posibility hata ya kutembea tuu haipo ndio kukimbia?kweli hii ndio tanzania yetu ya agencies,secretariet,mamlaka,tume,taasis na upuuzi mwingi unaotumia fedha za nchi bila mafanikio yoyote.
 
Hakuna kitu hapo wizi mtupu!
 
Huyu xaver alipewa cheo hiki...baada ya kumridhisha mtu fulani
Mkuu huyu Daudi alipewa cheo hicho basing on merits,for your information kabla ya uteuzi huo alikuwa mkurugenzi wa rasilimali watu wa wizara ya fedha!
 
mabomu ya wasomi yatakapoanza kulipuka ndio watajua maharagwe c mboga
 
Ni kwel hawana pesa so wanasubiria mwaka ujao wa fedha,wengi wataitwa kuanzia mwezi wa 4 mwakani ili ifikapo mwaka wa fedha 2013/2014 ndo waingizwe kwenye payrol,so bora mtu atafute sehemu ajishikize akisikilizia!

Back
Top Bottom