Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

Hao wanaofatilia dhamana hawajakwambia kakamatwa kwa makosa yepi? Mana hii taarifa iko nusu au unataka mjadala uwe wa upande mmoja tuwashambulie polisi huku tukiwa hatujui kosa alilotenda.
UCHOCHEZI...MiCCM ikiambiawa ukweli inatumia polisi...mshikeni Lissu muone watanzania walivyochoka an eye for an eye si mna familia nyie mambwiga
 
Wewe utakuwa ACT wazalendo!
 
UCHOCHEZI...MiCCM ikiambiawa ukweli inatumia polisi...mshikeni Lissu muone watanzania walivyochoka an eye for an eye si mna familia nyie mambwiga
Sio polisi mwambie aandike poliCCM!
 
UCHOCHEZI...MiCCM ikiambiawa ukweli inatumia polisi...mshikeni Lissu muone watanzania walivyochoka an eye for an eye si mna familia nyie mambwiga
Sasa ndio umeongea nini hapo mkuu hakieleweki mbona polisi hawakusema kuwa ni uchochezi, alafu mbona unaonyesha una chuki nyingi sana shida ni nini mkuu.
 
Mfumo Kristo lazima ung'olewe. Haki sawa kwa wote. Manaswara wamejisahau sana wanadhani wapo Vaticano
 
Mungu mbariki Sheikh Ponda
 
waislamu siku hizi ni wazembe huwezi kuwatofautisha na watumishi wa umma wanaopunjwa mishahara yao.
 
Nenda vituo vya polisi na magereza Kuna watu wa dini zote wamekamatwa na kufungwa uko, usichanganye dini kwenye swala la mtu binafsi
 
Acha uchokezi na ingekuwa vyema nawe wakufunze adabu, umezidi
Low IQ ..Marekani Republican na Democratic waliandamana usiku na mchana #blacklivesmatter bila ya kujali tofauti za itikadi zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…