Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UCHOCHEZI...MiCCM ikiambiawa ukweli inatumia polisi...mshikeni Lissu muone watanzania walivyochoka an eye for an eye si mna familia nyie mambwigaHao wanaofatilia dhamana hawajakwambia kakamatwa kwa makosa yepi? Mana hii taarifa iko nusu au unataka mjadala uwe wa upande mmoja tuwashambulie polisi huku tukiwa hatujui kosa alilotenda.
Wewe utakuwa ACT wazalendo!Shehe Ponda nasikia amekamatwa. Sababu ni kutoa waraka juu ya uchaguzi mkuu 2020. Nyie mko kimya tuu yaani bora liende. Na kesho uchaguzi mnaunga mkono chama na mgombea ambaye anaunga mkono kukandamizwa viongozi wenu.
Mnasubiri Mungu aje awashushie wa kuwapigania na kuwatetea? Kwa nini mnayachukulia poa haya mambo yanayotokea kwenu? Mimi sio mwislamu lakini yananiuma iweje nyie mko kimya tuu?
View attachment 1504314
Sio polisi mwambie aandike poliCCM!UCHOCHEZI...MiCCM ikiambiawa ukweli inatumia polisi...mshikeni Lissu muone watanzania walivyochoka an eye for an eye si mna familia nyie mambwiga
Sasa ndio umeongea nini hapo mkuu hakieleweki mbona polisi hawakusema kuwa ni uchochezi, alafu mbona unaonyesha una chuki nyingi sana shida ni nini mkuu.UCHOCHEZI...MiCCM ikiambiawa ukweli inatumia polisi...mshikeni Lissu muone watanzania walivyochoka an eye for an eye si mna familia nyie mambwiga
Acha uchokezi na ingekuwa vyema nawe wakufunze adabu, umezidiUchochezi uko wapi hapo? Kwa nini Ponda anawasemea lakini akionewa nao hawamsemei?
Mungu mbariki Sheikh PondaShehe Ponda nasikia amekamatwa. Sababu ni kutoa waraka juu ya uchaguzi mkuu 2020. Nyie mko kimya tuu yaani bora liende. Na kesho uchaguzi mnaunga mkono chama na mgombea ambaye anaunga mkono kukandamizwa viongozi wenu.
Mnasubiri Mungu aje awashushie wa kuwapigania na kuwatetea? Kwa nini mnayachukulia poa haya mambo yanayotokea kwenu? Mimi sio mwislamu lakini yananiuma iweje nyie mko kimya tuu?
View attachment 1504314
Waraka ukitolewa na TEC mbona hatusikii wanamkamata Askofu?Uchochezi huu, sio waislam wote wanakubaliana Shekh Ponda..
uchochezi ni nini ?Acha uchokezi na ingekuwa vyema nawe wakufunze adabu, umezidi
Hata wewe ni wale wale unatakiwa ufunzwe adabuuchochezi ni nini ?
Hao maaskofu na mapadri walifanya makosa gani hawakukamatwa?Na wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii
😆😆😆😆Hata wewe ni wale wale unatakiwa ufunzwe adabu
Kiingereza jamani. Tuambie kwa kisukuma unamaanisha Nini?We have law enforsers who can't tell a powder keg when they see one!
[emoji28][emoji378]
Low IQ ..Marekani Republican na Democratic waliandamana usiku na mchana #blacklivesmatter bila ya kujali tofauti za itikadi zao...Acha uchokezi na ingekuwa vyema nawe wakufunze adabu, umezidi