Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

Wasimdhuru tu Sheikh wa watu. Ila message send, waraka tumeshausoma!
 
Waraka ujinga, waislamu tunataka tume huru! Kwani kuna chama cha kiislamu kina mgombea wake? Acheni ujinga,vyombo vya dola vipo macho,havitakubali chokochoko hizi,atawekwa ndani hadi uchaguzi uishe. Kwani wale mashehe wa uamsho wapo wapi. Endeleeni kupiga kelele zenu.

Mpenda Amani

Stesheni
 
Asanteni sana Jeshi la polisi kwa fursa kuhamasisha wadau wengi wafatilie andiko husika ambalo ni mkuki wa moyoni kwa Watawala.
Kweli mkuu huo waraka mi ulinipita sasa nimeuelewa
 
Hzi dini znatufanya tunakuw wajinga sana. Mbona mambo ya kufanya ya kutusaidia sisi na familia zetu yapo mengi? Mbona tunahangaikia vitu ambavyo havitusaidii? Badala yake vinatutesa? Jaman ujinga upungue sasa maana dunia iko speed 360k/hr
kwa sababu yamesemwa na muislamu angalisema Padri au Askofu ungaliufyata au kumpongeza.
 
Waislam tuko pamoja nanyi katika hili.. Kamatieni hapohapo tumtoe dikteta uchwara.
 
Hakika..
 
Huo waraka aliokamatiwa ni huu huu uliomo humu JF ama kuna mwingine?

Anayejua tafadhali saidia jibu.

Ama tuseme, huu uliowekwa hapa JF umehaririwa na kuondoa yasiyotakiwa yaonekane?

Kama ni huu ulioletwa hapa JF, kwa nini wakuu 'Great Thinkers' msiuchambue tuone palipo na kosa hadi awindwe na polisi?

Kwa kweli nadhani nchi yetu hii sasa imekuwa ni nchi ya matatizo mengi. Tutasalimika kweli?
 
Wasimdhuru tu Sheikh wa watu. Ila message send, waraka tumeshausoma!
Kuna waaiwai kwa kilichompata akiwa chini ya Jeshi la Polisi............

Huoni hiyo heading iliyoandikwa katika thread hii kuwa ni TANZIA?
 
Shehe Ponda nasikia amekamatwa. Sababu ni kutoa waraka juu ya uchaguzi mkuu 2020. Nyie mko kimya tuu yaani bora liende. Na kesho uchaguzi mnaunga mkono chama na mgombea ambaye anaunga mkono kukandamizwa viongozi wenu.
Mnasubiri Mungu aje awashushie wa kuwapigania na kuwatetea? Kwa nini mnayachukulia poa haya mambo yanayotokea kwenu? Mimi sio mwislamu lakini yananiuma iweje nyie mko kimya tuu?
 
Uchochezi huu, sio waislam wote wanakubaliana Shekh Ponda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…