The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Acha vitishoHuyu bwana ajifunzi kusoma alama za nyakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha vitishoHuyu bwana ajifunzi kusoma alama za nyakati
Wanatumia akiliKatika dini ambayo vyombo vya dora inaviheshimu pamoja na Dini ya Roman catholic(RC), hata watoe waraka hautasikia padre au askofu kakamatwa
Wasimdhuru tu Sheikh wa watu. Ila message send, waraka tumeshausoma!
Tena lile lilikuwa kosa kubwa sanaGwajima mbona apati misuko misuko hiyo ata pale aliposema wasukuma waunde kikundi cha kigaidi akuitwa hata polisi kuojiwa.
Kweli mkuu huo waraka mi ulinipita sasa nimeuelewaAsanteni sana Jeshi la polisi kwa fursa kuhamasisha wadau wengi wafatilie andiko husika ambalo ni mkuki wa moyoni kwa Watawala.
kwa sababu yamesemwa na muislamu angalisema Padri au Askofu ungaliufyata au kumpongeza.Hzi dini znatufanya tunakuw wajinga sana. Mbona mambo ya kufanya ya kutusaidia sisi na familia zetu yapo mengi? Mbona tunahangaikia vitu ambavyo havitusaidii? Badala yake vinatutesa? Jaman ujinga upungue sasa maana dunia iko speed 360k/hr
Hakika..Nimeusoma waraka huu kwa Makini. Waraka unaeleza kinagaubaga tabia halisi ya serikali ya awamu ya tano ya uongo, uzandiki, kutoheshimu sheria, haki za watu, ubaguzi na uuaji. Kama Kuna mashehe wanaukana basi hao watakuwa ni mashehe ubwabwa, si viongozi halisi wa waislamu.
Hongera Shehe Ponda Issa Ponda. Mwenyezi Mungu atakurehemu dhidi ya madhalimu ya serikali hii.
Kuna waaiwai kwa kilichompata akiwa chini ya Jeshi la Polisi............Wasimdhuru tu Sheikh wa watu. Ila message send, waraka tumeshausoma!
Mpuuzi yule na warundi wenzake. Wanataka kutuharibia nchiSiasa zake za dini kwa Tanzania hazina mashiko.
Rushwa?Tangu waombewe kwa Mfalme wa Morocco kujengewa ule Msikiti Mkubwa, naona Bakwata ndiyo wamepoteza kabisa muelekeo! Hivyo watu kama akina Sheikh Issa Ponda, ni muhimu kuwemo kwenye Jamii yetu ya sasa.