TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
3,384
Reaction score
2,073
Mmiliki wa mabasi ya Kirumo Charo na Katibu Mkuu wa chama cha wamiliki wa mabasi TABOA, Ndg. Enea Mrutu ambaye pia ni diwani wa kata ya Shighatini CCM wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, amefariki dunia baada ya kubanwa kifua ghafla Mwirange disp. Mwanga!

Mrutu.jpg

Pia soma
> Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) chapinga Kanuni za Latra kwa madai kuwa zinawakandamiza - JamiiForums

> Diwani wa Shighati(CCM) Wilayani Mwanga, Enea Mrutu awekwa chini ya ulinzi baada ya kudakwa akitoa rushwa - JamiiForums

 
Mwenyekiti wa TABOA ambaye pia ni diwani wa kata ya Shighatini CCM wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro ndugu Enea Mrutu amefariki dunia baada ya kubanwa kifua ghafla
... hili dude ni hatari sana! Mola atusaidie.
 
Mmiliki wamabasi ya Kirumo Charo na katibu wa chama cha wamiliki wa mabasi TABOA, Ndg Enea Mrutu ambaye pia ni diwani wa kata ya Shighatini CCM wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro , amefariki dunia baada ya kubanwa kifua ghafla Mwirange disp. Mwanga!
Acha kabisa. Mwingine asubuhi hii kadondoka akiwa gym hapo Osterbay
IMG_20200508_112618.jpg
 
Back
Top Bottom