TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

Yani kama masihara live..Aisee Watanzania tufunge tuombe huku tukichukua hatua za kila aina!
 
Nadhani hata tusipohofishwa tunahofu sasa
 
Duh tumiachie MUNGU jambo limeshakuwa out of control!!
 
Dah Watanzania ubishi unawamaliza. Si mlisema mkikaa ndani mtakufa njaa..

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Back
Top Bottom