Elly Ngateu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 365
- 1,371
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudondoka kuna 7bu nyingi mkuu,nina ushuhuda na hilo kuna jamaa alidondoka kwenda kumpima kumbe alikuwa na magonjwa mengine malaria kali,UTI na damu ndogo.
Kwa hiyo una hisi kadondoka kwa sababu gani?Acha kabisa. Mwingine asubuhi hii kadondoka akiwa gym hapo Osterbay
View attachment 1443449
Taahira kweli weweJiwe inabidi ashtakiwa kwa crime against humanity maana kwa ukaidi amaesababisha vifo ambavyo vingeliepukika
HamaNovel disiese in Tanzania known as "Difficult breathing" NCHI YA KIJUHA SANA HII
Acha ujinga yaan uti udondoke ghafla.Hii kali duuh bila shaka utakua mshauri wa jiwe mnawapa watu matumain nyie mmejificha ubinafs wa kishetan huuKudondoka kuna 7bu nyingi mkuu,nina ushuhuda na hilo kuna jamaa alidondoka kwenda kumpima kumbe alikuwa na magonjwa mengine malaria kali,UTI na damu ndogo.
We ni juha la jiwe km wanaume si mtoke mafichoni km sio ubinafs wa kishetan ninn
Euphemism for it!baada ya kubanwa kifua ghafla
WHAT IS THIS?
Hii habari kuwa mortuary za Dar zimezidiwa, umeshaisikia.?Walikuwa wanadondoka sema kwa sasa mtu akidondoka lazima waje "WAJUBA wa MOH" wavaa manailoni waje kumchukua sasa wakija wale "WAJUBA" lazima itakuwa story tu kitaa na info kusambaa.
Kudondoka kuna 7bu nyingi mkuu,nina ushuhuda na hilo kuna jamaa alidondoka kwenda kumpima kumbe alikuwa na magonjwa mengine malaria kali,UTI na damu ndogo.
You don't know what you are saying.....Jiwe inabidi ashtakiwa kwa crime against humanity maana kwa ukaidi amaesababisha vifo ambavyo vingeliepukika
Na kweli, polite wordEuphemism for it!
Dah!... hatari sana.... hali inatisha wakuu! Halafu tunaaminishwa vifo bado ni 16 tu? Nadhani hali ni mbaya kuliko tunavyofikiria!
Dah!... hatari sana.... hali inatisha wakuu! Halafu tunaaminishwa vifo bado ni 16 tu? Nadhani hali ni mbaya kuliko tunavyofikiria!
Duh,la vile waliambiwa mazoezi yanasaidia ndo watajazana ili waambukizane vizuri. Si wafanyie mazoezi makwao jamani ?Acha kabisa. Mwingine asubuhi hii kadondoka akiwa gym hapo Osterbay
View attachment 1443449
Ni nani huyu ?