TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

Nitoe pole kwa familia ya wafiwa na ndugu wa karibu, MUNGU awape moyo kipindi hiki kigumu cha msiba

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Jamani cha chama chetu hii ni hujuma ya mabeberu wanatuonea wivu ww jiulize kwanini iwe sie wa chama chenye kupenda maendeleo tu naomba tuwe pa1 na kinjelitile wetu wetu chattle kwenye kujifukiza na kupiga nyungu.
Cc Wangari Maathai
 
Back
Top Bottom